Hallow wana Love Connect.
Nahitaji love kutoka kwa binti anayejitambua na anayetambua thamani ya mapenzi. I'm 27 yz, niko dar kwa aliye serious anakaribishwa PM.
Mimi ni mwanaume, nina miaka 28 nina kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa Kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi.
Karibuni.
Halloo wanajukwaa, hope mko poa,
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 29 na nina maisha ya kawaida nipo Arusha, natafuta mchumba atakaye kuwa mke, vigezo: awe anaishi Arusha, awe na umri kuanzia...
Mim nkijana wa miaka 25 mkristo, napenda music, kufanya mazoezi elimu yangu degree,...... natafuta mpenzi mwaminifu, mwenye mapenzi ya dhati, mkarimu anayejua nn maana ya mapenzi mungu akijalia...
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiriwa natafuta mchumba wa kuoa aliye na umri kuanzia miaka 23 mpaka 26.
Aliye interest tuwasiliane kama hii post haikuhusu ipotezee tu.
Mimi nikijana wa miaka 25 nimuajiriwa natafuta mchumba ambaye ana kazi ili tuweze kusaidiana katika Maisha sichagui kabila wala dini awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 24 kama utakua upon tayari...
Mimi ni kijana wa kitanzania ninatafuta mchumba, mimi ni mfanyabiashara wa madini nina pesa, nyumba, gari na kila kitu ambacho mtu anapaswa kuwa nacho katika maisha, tatizo tu natafuta mchumba aje...
Naitwa Monilite,
Natafuta marafiki wa jinsia zote wa kushauriana mambo tofauti katika maisha ya kila siku
Sichagui kabila
Umri 26 - 30
Awe anapatikana dar es salaam
Alie tayar aje PM
Mm ni kijana (kiume) wa kitanzania niko morogoro. Natafuta marafiki wa kike/mchumba. Aliye tayari tutazungumza kupitia 0629160442. Nina miaka32,nahitaji marafiki/mchumba kuanzia 24-30 kwa wanawake tu.
Mimi ni kijana umri 30 nahitaji mwanamke umri 25-30 asie na mtoto kama ana mtoto basi mzazi, mwenza labda asiwe duniani maana akiwa hai atapoteza sifa ya kinyang'anyiro.
Karibuni elimu sio lazima
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.