Asalam aleykum wana jF
natafuta mchumba wa kumuoa sifa
(1) awe anajua ugumu wa maisha
(2)awe na elimu yoyote tu
(3)kabila awe mmakonde,mmwera,mzaramo,myao,mmakua,yatapewa kipaumbele au kifupi...
Nimekuwa single kwa muda sasa,mimi ni ME natafuta rafiki wa kike wa kubadilishana nae mawazo, dini yoyote na umr wowote kikubwa ajitambue.. Naishi DSM, kwa ambay yuko tyr anakaribishwa PM.
Umri ndo huu umefika, sikutaka kukurupuka kuja hapa kuandika maana kuna kuna wengi wenye kutafuta waume niliona isiwe shida ya nami kuandika niliwafuata baadhi ya wale niloona wana vigezo...
Toka nijiunge humu galz wahumu siyo wakuoa wala kuolewa wamekaa kimajungu na kingono ngono muda wote wanawaza kugegedwa tu na wote wapo jukwaa hili la mapenzi siwaoni hata majukwaa ya muhimu wao...
Jamani wana jF natafta mchumba mwenye kujua nini maana ya mapenzi maana tangu nimeyajua mapenzi bado sijapataga mtu alie tulia kwni wote ninaowapata wengi huwa waongo sana leo atakuahidi hivi...
Mimi ni msichana miaka 26 naishi na VVU ukiniona huwezi kujua mpaka nikwambie, natafuta mwanaume mwenye hali kama yangu tuoane miaka27 mpka32 awe na kipato cha kuhudumia familia, awe anajipenda...
Nalipanda hili jukwaa tena kwa heshima zote na taadhima, ni wengi wameleta maombi yao humu ya kutafuta mwenzi wa maisha na wamefanikiwa,
Na mm sio ajabu nikirudia ombi langu humu, natafuta mke...
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu:
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi...
Habarini!
Mimi najitokeza kwenu Leo hii kwa mara yangu ya Kwanza kumtafuta mchumba ambae
1.Ana hofu na MUNGU, Mimi ninampenda yesu.
2.MKRISTO km sio mkristo usinipm please ,me ni muaglicana...
Kama wewe unahisi kuwa unaweza kuwa mke mwema karibu PM kwa kufahamiana zaidi..naishi Dar.... Mengine utayajua ukija PM
Ukija PM acha namba nitakupigia..
Hello!
Habari za wakati huu wapendwa,
Niko hapa kwa ajili ya kutafuta rafiki ambae tukifikia maafikiano tunaweza kundelea na process za uchumba mpaka ndoa.
Sifa za anayetafutwa:-
Kijana wa...
Habari zenu wakuu, natumai hamjambo kabla ya yote ningeomba tusaidiane hili la kutafuta wachumba kwamba asilimia kubwa ya wanaume wakitafuta wachumba hua wanazungumzia sana tabia nzuri na hofu ya...
Awe na umri miaka 35+
mkoa awe anaishi Tanga mpaka akhera
awe na watoto sio chini ya wa5
Kuhonga sijui kusema kweli,
Awe na makalio yasio pungua Tani 6,
Awe na rangi Ya kijani
uzito wake wa mwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.