Natafuta mwanamke mwenye dhamira ya dhati ya kuingia kwenye ndoa

Msukuma utamfaidi akiwa mjini ila akikupeleka kwa huko utageuka housegirl na maamuzi yote utaamuliwa na wazazi wa mume huku ukinyimwa fursa ya kutoa ya moyoni.
 
n
Wana MMU nawasalimu wote,

Nipende kuchukua nafasi hii pia kuushukuru uongozi wa JF kwa kazi yenu nzuri ya kutupa mahali pa kukutania na kushea mawazo kwa Uhuru.

Niende kwenye mada.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza;

Mimi ni mwanaume wa miaka 34.

Elimu yangu ni form six plane.

Mfanyabiashara wa kati.

Makazi yangu ni Dar.

Mkristo.

Nina mtoto mmoja.

Nahitaji mwanamke mwenye mapenzi ya dhati aliyetayari kufunga ndoa.

Sifa zake; awe na miaka kati ya 26na 34.

Angalau form four.

Dini yoyote.

Kabila lolote.

Mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato.

Nitangulie kusema naamini mke au mume anapatikana popote.

Mwenye nia ya dhati anipm tuyajenge.
itafute in box tuyajenge
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom