Natafuta mchumba

JIGOKU IKAYA

Member
Apr 29, 2017
38
46
Mimi ni mwanaume, nina miaka 28 nina kazi yangu (mwajiriwa). Natafuta mwenzi wa maisha. Awe mkiristo, hasa Kanda ya ziwa. Umri 22-30 na asiwe mlevi.

Karibuni.
 
Ayaaaa....ulevi ushanikosesha mwenza!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom