benjaminielia85
Member
- Sep 15, 2016
- 29
- 5
mm ni kijana wa kiume nina miaka 30 nahitaji mke mkweli na mwaminifu awe mkristo ,awe mweupe na awe na miaka 19-25 namba yangu ni 0766971149
Watu kama nyie sijui tusemeje.Kwa hiyo unasemaje kwa waliopata humu.Tunawajua Na wapo Mpaka Leo.Sasa kama huamini hilo jukwaa unakesha Hapa Ili iweje.Na kama huamini why usitoe hoja binafsi kwa JF wafute jukwaa hili kuliko kukera Watu wasio Na hatua.Kama wewe.mpenzi wako ulimpata kanisani au.sokoni au.mtaani au Shule Ni.wewe..is your.choice.Mwenzako muache majaribu Bahati yake.Kuhusu.Watu kuachana Hata waliosoma Na kujua pamoja hutemgana kuacha.Hapa Ni sehemu kama nyingine.Watu wa humu Sio Robot..Ni Watu halisi.Mnakeraaaaaa saana wajinga kama ninyi.Hupendi site hii but unashinda humu toka asubuhi.Acha ujinga.Huwezi kumpata mke mwaminifu kwa vigezo hv,awe mweupe awe na 19/25.Watakupigia wengi sana najua muda si mrefu utatutumia tena yatakayokusbu.Nakuonea huruma mdogo wangu sehemu za kupata mw.mke sio humu
Kama humu Sio mwa kupata mke wewe umefuata nini.Shetani mkata kambaa wee.Lengo usubiri wenzio wapost kusaka wachumba wewe uvurugee.Kivurugeeeee mkubwaa!!!Huwezi kumpata mke mwaminifu kwa vigezo hv,awe mweupe awe na 19/25.Watakupigia wengi sana najua muda si mrefu utatutumia tena yatakayokusbu.Nakuonea huruma mdogo wangu sehemu za kupata mw.mke sio humu