Natafuta mpenzi

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
6,081
6,916
Mimi mwanaume miaka 32 naishi Dar.
Nahitaji mwanamke umri kuanzia 18yrs hadi 40yrs awe mkazi wa Dar.
Karibu PM mpenzi
 
Hivi Barabarani kote huko mnapozunguka hamna wanawake kila mtu anakuja JF.?

Nenda Badoo utapata leo leo tena wakuoa bila mahari.
 
Hivi Barabarani kote huko mnapozunguka hamna wanawake kila mtu anakuja JF.?

Nenda Badoo utapata leo leo tena wakuoa bila mahari.

Humu ndani inawezekana wanawake wa humu ni walelewa sana kusikiliza mahitaji ya miyo ya ya watu... Pia inawezekana kuna wake za watu wengi humu maake tuhuma juu yao zimezidi
 
Mkuu Kama Umeweza Kutunza Bikra Yako Mpaka 32 Bac Kuwa Mvumilivu Tu! Watakuja
 
Mimi nina dada yangu yupo KIBITI...na ana sifa zote..sasa sijuwi itakuwaje....mkuu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom