Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ndugu habari.. Angalieni hii ramani alafu mtoe maoni yenu ni nini cha kuboresha wakubwa
3 Reactions
10 Replies
415 Views
Fundi kuniambia kama unataka kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa. Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden &...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
ELIMU YA UJENZI 🏠 UMUHIMU WA KUWA NA RAMANI KABLA YA KUANZA UJENZI Watu wengi hufikiri ramani ni karatasi ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba ndiyo msingi wa ujenzi wenye mafanikio. ✅ Hukusaidia...
0 Reactions
1 Replies
135 Views
Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035 Nimependa muonekano wake ! Je inaweza cost vipi leta mchanganuo Britanicca
12 Reactions
49 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
1 Reactions
14 Replies
408 Views
Kumekuwepo na tabia ya wamiliki wa majengo kuwaamini moja kwa moja mafundi au wasimamizi.Ila kinachofanyika site za ujenzi ni aibu!
1 Reactions
2 Replies
254 Views
Kwema wakuu? Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae? Kuna watu hua...
1 Reactions
13 Replies
264 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha...
0 Reactions
3 Replies
766 Views
guest-1788672427
Amenunua hiki kiwanja kina sq merter 510 KIBAHA ila analalamika kwasababu ya umbo la kiwanja na bei aliyouziwa....yaan anaona kiwanja kimekaa umbo la pembe 3 hivyo hapafai au hapatoshi kujenga...
9 Reactions
112 Replies
2K Views
Karibuni sana wakuu kama unahitaji kujengewa Chemba nicheki +255624254690
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Amani iwe kwenu wanaukumbi. Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa mambo mengi anayotujalia katika maisha yetu ya kila siku. Niende kwenye mada moja kwa moja, mwenye ijuzi wa mambo ya ujenzi...
4 Reactions
59 Replies
14K Views
  • Redirect
MACDEGAMO Company Limited is a professional company that provides building maintenance services, environmental sanitation, home decoration, planting and landscaping, as well as house molding. We...
0 Reactions
– Replies
– Views
MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Wakuu Kwema? Nauza changeover Switch imetumika miezi mitatu tu. Picha zinajieleza vizuri mzigo upo Moro Town, 0639910023.
0 Reactions
11 Replies
257 Views
JINSI YA KUFANYA MAKADIRIO YA GHARAMA ZA UJENZI WA NYUMBA Habari wana Ujenzi! Watu wengi wanapata changamoto ya kufahamu makadirio ya material wanayo hitaji katika ujenzi wa nyumba ama majengo...
9 Reactions
23 Replies
13K Views
Kuna kitu kama umenotice Tanzania, mabati kwenye nyumba nyingi yanakuwa raised too high. Kuna watu wanaoverdo wanafanya mabati yawe marefu sana, ila kuna wengine ambayo hawaja overdo, bati...
10 Reactions
54 Replies
1K Views
Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
0 Reactions
4 Replies
183 Views
Gas ikiisha unasikia Watanzania wajinga wakisema "sijui kwa nini gesi lazima iishe usiku." Sawa gas imeisha usiku kwa nini usingekuwa na backup ya jiko la umeme? Utamsikia Mtanzania anakwambia...
74 Reactions
348 Replies
18K Views
🏡 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏡 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. 💰 Bei zetu . 📍Dar es Salaam –...
1 Reactions
7 Replies
258 Views
Back
Top Bottom