Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Nimeona haya mashimo ya Choo mtandaoni je Ubora Wake ni Mzuri tusije Kujichanganya tukahama Kwenye Uchumbaji wa Mashimo marefu tukajuta Baadae: Sifa zake wanasema. 1. Hayajai kamwe 2. Hanachukua...
6 Reactions
57 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Sheria ya Upimaji na Ramani Sura Na. 324 ya Mwaka 1957 na kama ilivyorekebishwa Mwaka 1997, ni kosa la jinai kwa kuharibu au kusogeza alama za mipaka. Chini ya Sheria hii Vifungu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema Wakuu, Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia. Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo...
11 Reactions
171 Replies
27K Views
Nguzo za madaraja ya baharini hujengwa kwa teknolojia maalumu ili ziweze kustahimili maji, mawimbi, mikondo ya bahari, na uzito wa daraja. Kwa ujumla, hatua zake ni hizi: Uchunguzi wa eneo...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Habari wakuu, Naomba msaada wa kujuzwa makadirio ya gharama ya kufanya wiring kwa nyumba ya vyumba 4 (vyumba 4, sebure, dining, stoo na jiko), pamoja na vifaa vinavyohitajika. Natanguliza...
6 Reactions
139 Replies
27K Views
  • Redirect
🏡 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏡 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. 💰 Bei zetu . 📍Dar es Salaam –...
1 Reactions
– Replies
– Views
Huduma ya kuweka usalama wa Afya na Ubora imara wa Bustani yako, inapatikana kwangu. Nipigie: 0714693107
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema. Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika...
99 Reactions
225 Replies
16K Views
guest-1788672427
Tuseme mtu anataka kununua kiwanja Lakini hajui achague viwanja vilivyopo kati ya Bagamoyo Road vs Morogoro Road, utamwambia aende wapi? Kibaha au Bagamoyo? Ni sehemu gani itakuwa na thamani na...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Kitendo cha kukopa kiwanja ni ishara tosha kwamba huna hela tafuta hela
7 Reactions
28 Replies
523 Views
Nahitaji haya mabati kwa ajili ya kuextend chumba cha ofisi nje ya jengo kubwa. Au kama kuna mtu anajua material ambazo ni za uzito mwepezi na hazipenyezi maji wala kuoza anisaidie.
0 Reactions
2 Replies
201 Views
Nipo Dar es salaam, nahitaji hizi materials.
0 Reactions
5 Replies
158 Views
Unapojenga msingi wa nyumba ya kuishi tumia resho 1:3 Yaani cement mfuko 1 tumia mchanga ndoo 6 kubwa cement tumia 42 n au 42 r sehemu zenye maji maji Napatikana kwa namba 0743 257 669 Kwa kazi...
2 Reactions
13 Replies
430 Views
guest-1788672427
Nilikua na 12M, nilikuwa natafuta kiwanja, nimetafuta sana hadi nilipopata huko mkoa wa pwani sehemu inaitwa kibaha kwa mfipa. Nikapata kiwanja cha kwanza kina sq merter za mramba 513 nikalipia...
22 Reactions
149 Replies
3K Views
Kwa kazi za kujenga nyumba za kisasa nitafute 0743 257 669 napatikana Dsm. Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master 2 self seble jiko dinning jiko store prayer room
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Hapa wazee napigwa? Nyumba ina vyumba vitatu na iko mstatili ameniambia milioni moja na laki mbili, vifaa vyote ni vyangu maeneo ya Dar iko sawa? Na mwingine kaniambia laki nane na nusu lakini...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Back
Top Bottom