Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango...
2 Reactions
3 Replies
124 Views
Tunatoa huduma Bora zaidi ya kudesign eneo lako na kukupandia bustani nzuri ya kisasa kwenye MAZINGIRA yako Tena Kwa gharama nafuu mnoo. Nitafute Kwa Namba hii. 0714693107 napatikana jijini Dar...
1 Reactions
7 Replies
198 Views
Tupo kwa ajili yako. GARDEN yako, MAZINGIRA yako na makazi yako yanatuhitaji sisi tuyahudumie. Tupigie : 0714693107
0 Reactions
0 Replies
19 Views
vitu vya kuzingatia unapojenga nyumba ya makazi kwenye eneo lenye udongo wa mfinyanzi Udongo wa mfinyanzi (clay soil) ni mgumu kujengea kwa sababu huvimba ukiwa na maji na kusinyauka ukikauka. Hii...
2 Reactions
6 Replies
459 Views
Inabidi kuta za nyumba zipendeze mpaka ukiingia useme waoooh amejitahidi Nahitaji kufanya moulding ya ukuta. Mnitoe ushaamba ni materials yapi ni sahihi? Kuna mafundi wanatumia gypsum powder...
3 Reactions
12 Replies
291 Views
Ni wapi ntapata mosaic tiles kwa ajili ya kuweka chooni. Nimeenda maduka mengi hawana
0 Reactions
1 Replies
126 Views
DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Tubuni njia nyingine za kuwekeza, kwenye mijengo ni kutupa pesa. Ukishapata kimjengo cha kuishi achana na show offs ati unamiliki mijengo mingi Ili kurudishwa milion 300 itachukua muda wa miaka...
12 Reactions
83 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf, Kwa sasa I am on the way kukamilisha my dream house kwa hatua ya kuweka /kufunga Gypsum board. Nipo mkoani na SIPO DSM. Kwa makadirio ya fundi wangu ninahitaji GYSUM BOARD...
0 Reactions
0 Replies
111 Views
Tunatrip za mchanga gari ni faw cubic metre 20 Tupo njia ya bunju tunakuletea bei inategemeana umbali site ilipo 0740 882 235
1 Reactions
7 Replies
143 Views
Nimemaliza Kupiga Mbao, site yangu wameshakuja watu wa sales wa makampuni mbalimbali, na wamenipiga saundi za kutosha. Mafundi nao waliopiga mbao wamenishauri ila walivyoona nimepagawa sielewi...
9 Reactions
138 Replies
19K Views
⛪🕌 UNATAKA KUJENGA KANISA AU MSIKITI? USIANZE NA CEMENT! Watu wengi wakipata kiwanja cha kujenga sehemu ya ibada, kitu cha kwanza wanachofikiria ni: “Tuanze kununua cement, mchanga na kokoto.” 😅...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
KWA NINI GHARAMA ZA UJENZI HAZIFANANI? Umeshawahi kujiuliza: Kwa nini nyumba ya 150 SQM inaweza kugharimu tofauti na jengo jingine lenye 150 SQM? Jibu ni hili: SQM PEKE YAKE HAIAMUI GHARAMA YA...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Siku mkipata nafasi ya kumhoji huyu Nguli wa nyimbo za injiri.Muulizeni nini kilimkuta siku alipofika Kibondo kueneza injiri. Muulizeni kuhusu mwamba wa kuitwa Mabondo, hadi akamuimba na kuwatuma...
1 Reactions
7 Replies
137 Views
🏠 UNAJENGA? USIANZE KUJENGA KWA KUBAHATISHA! Kuanzia sasa nimeanzisha UJENZI NA RAMANI — WhatsApp Membership, kwa mtu yeyote anayejenga au anayepanga kujenga nyumba yake. 💰 Tsh 2,000 TU KWA...
0 Reactions
3 Replies
174 Views
Habari wadau Nataka kuweka tank juu la 3000 lita liingize maji ndani sababu maji ys dawasa hayaeleweki yaani kutoka siku tatu mfululizo ni bahati kwahyo ikitokea hakuna ni mwendo wa kutoka na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. Mlango wa mbele ni mkubwa 2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali 3. Sometimes...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
1. Huyu "Ëngineer" wa instagram anafaa kusaidiwa kitaalamu ili ajisajili ERB na kampuni yake isajiliwe BRELA, TRA, OSHA, NEMC ili apate kazi kubwa zaidi. 2. ukimsikiliza vizuri, anaonekana mjuzi...
9 Reactions
86 Replies
6K Views
Kwanini nyumba za kisasa uwa haziwekwi geti (grill) nazungumzia kwenye mlango wa kuingia sebuleni na mlango wa nyuma fensi inakuwepo na geti moja au mbili Lakini kwenye mlango ya kuingia kwenye...
1 Reactions
19 Replies
464 Views
Back
Top Bottom