Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 58,783
- 136,820
Wawili hawa wametofautiana pakubwa sana kuhusu kiwango cha kuingiza umeme. Fundi umeme anasema single phase, mtu wa TANESCO ameshangaa sana, anasema huu mjengo ni mkubwa unawekaje single phase? Anasema iwe three phase. Nani mkweli hapa
Matumizi makubwa
AC 2 master na sitting room
Heater 3; kwenye vyoo viwili na sink la kunawia dining
Fence ya umeme
Geti la remote
Mashine ya kati ya kuchakata chakula cha mifugo
Motor ya kupandisha maji kwenye tank
Jiko la Umeme
Mashine za kufulia nguo 2
Pasi ya mvuke
Friji 2
Feni kwa vyumba 3,na sebule
Matumizi ya kawaida
Taa takribani 30
Socket takribani 30
CCTV camera
Matumizi makubwa
AC 2 master na sitting room
Heater 3; kwenye vyoo viwili na sink la kunawia dining
Fence ya umeme
Geti la remote
Mashine ya kati ya kuchakata chakula cha mifugo
Motor ya kupandisha maji kwenye tank
Jiko la Umeme
Mashine za kufulia nguo 2
Pasi ya mvuke
Friji 2
Feni kwa vyumba 3,na sebule
Matumizi ya kawaida
Taa takribani 30
Socket takribani 30
CCTV camera