Habari za mchana wadau,
Kama mnavyojua vijana siku hizi tunachakarika ili tuweze kukaa kwenye nyumba zetu, ila sijaona uzi unaozungumzia ujenzi wa nyuma, watu kupeana ideas mbalimbali za...
Nahitaji kujenga nyumba kwa sasa,idadi ya vyumba ni vinne, jiko, store, public toilet,vyote ndani kwa ndani" msaada unahitajika hapa
1:kwa makadirio ya jumla niandae tsh. ngapi mpaka nyumba...
wanajf sikuhizi maeneo mbalimbali nchini viwanja vinauzwa si tena kama zamani unapata shamba, nusu heka etc, kiwanja hiki kinaukubwa wa mita 15 kwa mita 20, wataalamu wa ujenzi, niambieni hiki...
kwa muda mrefu nimekuwa nikifatilia wakandarasi wa mabarabara sehemu mbalimbali, nikagundua kuwa wengi wao baada ya kumaliza shughuli za ujenzi wa barabara walizopewa, vifaa vungi kama makatapira...
Members nina kiasi cha Tshs.milioni hamsini je ninaweza kujenga nyumba ya vyumba vinne ikaisha? Naomba ushauri kutoka kwa wale ambao wameshajenga nyumba. Na kama hujajenga basi unafahamu usisite...
Sekta ya ujenzi wa nyumba imezidi kupata ahueni baada ya Benki ya CRDB kuzindua mkopo maalumu kwa ajili ya ujenzi wa nyumba uitwao Jijenge, utakaokuwa mfumbuzi wa tatizo la changamoto...
Habari wana JF, jana usiku kibaka kabenjua luva za madirisha nyumbani kwangu na kufanikiwa kuondoka na simu HTC ya wife! Kotokana na tukio hili imenibidi long term plan yangu ya kujenga uzio iwe...
Habari wa JF , naomba msaada wa kimawazo na ushauri, Nina Mil.10 ninaplan ya kujenga nyumba yenye vyumba 3,
Je kwa hiyo pesa nyumba yangu itaishia wapi?
Kwa wenye uzoefu wa mambo ya ujenzi...
Heshima kwenu wakuu,
Mwanajamvi anayekwenda kwa jina ritz alituhabarisha juu ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa kitongoji cha Kaloleni.
Mradi wa ujenzi Kaloleni umekaa kifisadi zipo sababu...
JAMANI WADAU HAABARI ZA JIONI NAOMBA KUULIZA ETI UTARATIBU WA UJENZI WA NYUMBA KATIKA MIJI NA MAJIJI, MANSPAA PAMOJA NA NYUMBA SERIKALI NA TAASISI ZAKE NI UTARATIBU UPI UNAOTAKIWA KUFUATWA NA...
Habari wanajamii ninaduka la vifaa vya ujenzi hapa Dar maeneo ya kitunda mtaji wangu mdogo nahitaji mtu anayeuza vifaa vya ujenzi kwa bei ya jumla anisaidie vifaa kama Rangi, vifaa vya umeme...
Nyumba nyingi za Ulaya na Marekani hujengwa kwa mtindo huu, na wakishafunika juu yake kwa makaratasi na maplastic inaonekana bomba sana kumbe ni mbao tu na hata sakafu imesakafishwa kwa mbao...
Wadau naomba kama kuna mdau ana software ya kudizaini paa la nyumba katika 3D format, naomba anisaidie tafadhari!!
Nataka software ambayo ni rahisi kutumia, isiyohitaji degree ya architecture au...
WAKUU HABARI ZENU ebwana nilikuwa najaribu kuangalia picha za hii nyumba inayopatikana hapa palo alto calofonia but nikawa nafikiria hii nyumba japokuwa ni kind expensive huku kibongo bongo kama...
Habari zenu wanajamvini, kwanza kabisa nimezunguka kutafuta viwanja kila sehemu bei juu yaani kila kitu siku hizi kimepanda, msadaa wa kwanza nataka kununua kiwanja nielekezeni ni mitaa ya wapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.