Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,250
- 5,061
Vyumba vitatu, kimoja master.
Haiwezekani pesa ndogo sana hiyoView attachment 3606105
Vyumba vitatu, kimoja master.
😁😁 kila hatua anakusikilizia namna ya kuondoka na weweUjenzi ni gharama sababu mafundi wengi ni wezi.
Na huwa ni wapole balaa..😁😁 kila hatua anakusikilizia namna ya kuondoka na wewe
KafyatuaKafyatua tofali mwenyewe, katengeneza mageti mwenyewe, fundi wa kujenga, kupauwa, kupiga lipu mwenyewe. Ina2ezekana.View attachment 3606105
Vyumba vitatu, kimoja master.
Naunga mkono hoja yako, mafundi wengi si waaminifu kabisaUjenzi ni gharama sababu mafundi wengi ni wezi.
Ujenzi wa kugharimu 20M unatumia 40MNaunga mkono hoja yako, mafundi wengi si waaminifu kabisa