Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Karibuni Kama unataka kupaua nyumba yako nicheki 0743 257 669 napatikana Dsm kokote tunakuja kupaua nyumba za kisasa
1 Reactions
3 Replies
167 Views
Nina uzoefu na kufanya kazi kwenye ujenzi kama Kuna mtu anataka mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba yake Niko hapa
0 Reactions
10 Replies
220 Views
Hivi kwanini Jiji la Dar es salaam hakuna tofali za kuchoma tofauti na mikoa mingi ya Tanzania, je tofali za kuchoma ni ishara ya umaskini ?
13 Reactions
188 Replies
2K Views
Natafuta hii course ya Mike Freeman Autocad Complete (Offline)
0 Reactions
1 Replies
287 Views
hii ramani nimeipenda ila inamaboresho kidogo nilihitaji mtaalam aiweke kwenye vipimo pamoja na 3d ikiwa bila BOQ. vitu vya kurekebisha ni hapo kwenye kuiondoa dinning ibaki vyumba vitatu...
1 Reactions
3 Replies
382 Views
Faida za Kufanya Curing kwenye Ujenzi (Hasa Saruji/Concrete) Curing ni mchakato wa kudumisha unyevu, joto na muda unaofaa ili saruji iweze kuwa na nguvu kamili baada ya kumwaga. Ni hatua muhimu...
1 Reactions
3 Replies
248 Views
Wataalam wa kutengeneza garden na kupanda bustani za maua kwenye makazi, Ofisi na maeneo yanayozunguka makazi ya watu. Karibuni Sana Kwa huduma Bora. Piga Namba: 0714693107
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Habari ya majukumu ndugu zangu mafundi tiles. Eti njia sahihi ya kubandika hizo tiles hapo pichani zinate vizuri hata watoto wakizichezea zisitoke ni ipi kati ya kutumia gundi yake au kuzibandika...
3 Reactions
28 Replies
538 Views
Mafundi, wekeni bei rafiki ya kujenga dari ya geti 'canopy' yenye muonekano huu. Ikiwa lango la geti litakuwa na upana wa mita nne, na dari la zege (slab) la juu lisipinde, linyooke kama rula.
3 Reactions
12 Replies
326 Views
HELLO WAJENZI, WAJENGAJI NA WADAU Nimekuja hapa kupata uelewa wa nini mtu huyu afanye yupo Iringa manispaa. 1. Ukuta kwa ndani unamung'unyuka na unatoa mchanga nini nifanye? 2. Kati ya msingi na...
1 Reactions
5 Replies
303 Views
LUXURY BEACHFRONT INVESTMENT – MANGO TREE RESIDENCE | MSASANI BEACH, DAR ES SALAAM Where Luxury Meets Smart Investment. Mango Tree Residence is a premium beachfront development at Msasani Beach...
0 Reactions
0 Replies
173 Views
guest-1788672427
Ma engineer, ChatGPT amenichorea hii ramani, naomba mniambie kama iko sawa??
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari wadau? Kiwanjq kizuri, gentle slope, eneo la makazi 45/23m 1km from Main road Bei 4M tu Njoo tuzungumze
0 Reactions
1 Replies
174 Views
Uongozi wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) umetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika Ujenzi wa Mwendokasi Mwenge -Tegeta utakamilika lini? Ni kweli Mkandarasi ana...
0 Reactions
5 Replies
265 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Eti wakuu hiyo rangi hapo kwenye picha ni ya kupaka ndani au nje ya nyumba.? Eti ni kweli kwamba rangi ikiwa na neno EMULSION haifai kupaka nje ya nyumba? Kama rangi hii ni ya nje,je ni...
3 Reactions
18 Replies
437 Views
Habari JF. Hii hàpa sadakalawe "free hand" kutoka kwa fundi maiko kajumba cha kupangisha, sketch simple ya chumba, sebule na kajiko kadogo, Nyumba ni TWO in ONE. Choo ni public kwa matumizi yako...
3 Reactions
10 Replies
559 Views
Back
Top Bottom