Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

MACDEGAMO Company Limited is a professional company that provides building maintenance services, environmental sanitation, home decoration, planting and landscaping, as well as house molding. We...
0 Reactions
8 Replies
247 Views
Habari zenu wakuu Naomba msaada wa kupata roughly mchanganuo wa kujenga fremu tatu za biashara, ukubwa wa 2.5m x 2.5, Kuanzia msingi mpaka juu. Mfano wa fremu ni hizi chini hapa. Eno lipo Dar...
7 Reactions
13 Replies
2K Views
VISION (Dira) "Kuwa kampuni inayoongoza Tanzania katika huduma za matengenezo ya majengo, usafi, na utunzaji wa mazingira kwa kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, ubunifu, na uaminifu unaozidi...
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Ushauri wa kujenga nyumba eneo lenye asili ya maji / maji mengi chini ya ardhi Kujenga kwenye eneo la maji, mito, mabwawa, au sehemu yenye maji mengi chini kunahitaji tahadhari zaidi. Hii ndio...
2 Reactions
2 Replies
255 Views
🏠 UNA MILIONI 1 KWA MWEZI? UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YA NDOTO YAKO NDANI YA MIAKA 2! Mtu mwenye kipato cha TSh 1,000,000 kwa mwezi, hana akiba benki wala kipato cha ziada — anawezaje kujenga nyumba...
1 Reactions
3 Replies
352 Views
Mimi nimeoa miaka 6 iliyopita tuna mtoto mmoja na tunaishi nyumba ya kupanga lakini mke wangu anawasifu Sana wanaume waliojenga nyumba zao. Wanajukwaa, mliwezaje kujenga kwa biashara ndogo ndogo...
17 Reactions
54 Replies
1K Views
Mwaka jana, mwezi wa 4 nikiwa katika harakati za kueneza kampeni ya kataa ndoa hapa mtaani, alitokea bishoo mmoja na kusema, "bro wewe unajifanya kataa ndoa kumbe jogoo lenyewe haliwiki...
2 Reactions
12 Replies
348 Views
Salaam waungwana, Mimi ni mwanamke mwenye mtoto mmoja kiu yangu kubwa ni kupata kijumba changu kidogo tustirike na mwanangu, naombeni mnitie moyo je kwa shilingi laki mbili kwa mwezi naweza...
20 Reactions
131 Replies
2K Views
Habari marafiki. Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25×20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M. Mkononi nitabakiwa na 17M. Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba...
6 Reactions
62 Replies
2K Views
UNA MILIONI 17, UNATAKA KUJENGA NYUMBA YA VYUMBA 3 — UTATOBOA? Jibu ni NDIO, lakini lazima ujenge kwa mpango! 🔨 Milioni 17 siyo bajeti ya kujenga nyumba kubwa ya vyumba 3 yenye finishing za...
1 Reactions
1 Replies
292 Views
Mazingira yako yanaboresha na bustani nzuri zilizopangiliwa vzr. Wasiliana NAMI kupitia Namba: 0714693107
1 Reactions
2 Replies
232 Views
Ndugu habari.. Angalieni hii ramani alafu mtoe maoni yenu ni nini cha kuboresha wakubwa
3 Reactions
10 Replies
405 Views
Fundi kuniambia kama unataka kujenga nyumba yenye vyumba vinne au zaidi ni bora ujenge ghorofa. Kujenga nyumba ni jambo kubwa. Unapofikia hatua ya kuamua idadi ya vyumba vya kulala, swali...
7 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden &...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
ELIMU YA UJENZI 🏠 UMUHIMU WA KUWA NA RAMANI KABLA YA KUANZA UJENZI Watu wengi hufikiri ramani ni karatasi ya kawaida, lakini ukweli ni kwamba ndiyo msingi wa ujenzi wenye mafanikio. ✅ Hukusaidia...
0 Reactions
1 Replies
129 Views
Ninauliza vyanzo mbali mbali kuchakata Nataka nikistaafu nipumzike vema 2035 Nimependa muonekano wake ! Je inaweza cost vipi leta mchanganuo Britanicca
12 Reactions
49 Replies
1K Views
Habari wakuu. Nahitaji used marine board, piece 40. Niko Dar Mbezi Juu.
1 Reactions
14 Replies
407 Views
Kumekuwepo na tabia ya wamiliki wa majengo kuwaamini moja kwa moja mafundi au wasimamizi.Ila kinachofanyika site za ujenzi ni aibu!
1 Reactions
2 Replies
251 Views
Kwema wakuu? Kuna kitu nimewaza hapa. Mfano mtu anajenga akanunua mirunda au Marine Boards. Akimaliza kujenga ni wazi hivi vifaa havitotumika tena. Hua vinaendaga wapi baadae? Kuna watu hua...
1 Reactions
13 Replies
261 Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Mtendaji Mkuu Wakala wa Barabara (TANROADS) kumsimamia Mkandarasi kampuni ya Jiangxi Geo Engineering kukamilisha kwa wakati ujenzi kwa kiwango cha...
0 Reactions
3 Replies
763 Views
Back
Top Bottom