Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi.
Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno.
Tunajiuliza...
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima...
Kama ambavyo tumeshuhudia shughuli nyingi zikisimama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma, hali iliyo tofauti na ilivyozoeleka katika siku za kawaida. ambapo katika baadhi ya mitaa...
Jeshi la Polisi limewataka wananchi kupuuza picha mjongeo inayosambaa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari "Wamasai waanza maandamano kudai haki zao Arusha."
Polisi wamefafanua kuwa...
Nashauri Serikali ifute sikukuu zote za kitaifa kuanzia :- Mapinduzi ZNZ, Karume Day, Muungano, Sabasaba, Mashujaa, Nyerere Day, Uhuru nk.
Kisha fedha zilizotengwa kwa ajili ya sherehe hizo...
Hivi watawala wataishi kwa kuogopa mpaka lini? Hii dhuruma waliyoifanya itawaandama kila siku,kwa nini msiwape wanainchi wanachokitaka,wamue yaliyomo ndani ya mioyo yao.
Huu ushindi wa asilimia...
Ni huyu Rose Mayemba na genge lake huko ukimbizini Kenya.
Wanapost video za Oktoba 29 kiasi cha kutoa morali ya wapenda mabadikiko.
Inaonekana ni upuuzi. Hawako serious.
Wakuu .
Njia iliyotumika ya kuua watanzania October 29 ni njia waliyotumwa na serikali ya China kupambana na maandamano ya Tiananmen. Katika maandamano hayo takriban watu karibu 10,000...
Tangazo kwa vijana wote wa tanzania.
Vijana wote wa tanzania mnashauriwa kutoshiriki katika ushawishi unaofanywa wa maandano hapo tar9/12
Kimsingi, hakuna maandamano kwa vile waloyatangaza...
Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani.
Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya...
Ni kama vile D9 ina baraka zote za kiroho! Na matendo ya kiroho hayapangwi na binadamu
Vibe ni kubwa mno kuelekea D9 lakini kuna uvumi kila mahali kwamba inaweza isifike huko, na ya kwamba mambo...
Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, kuna hii picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza.
Hakuna jambo kama...
Kuna kiongozi Mmoja ndani ya Afrika mashariki aliwahi mwambia kiongozi wa Nchi yetu nyakati hizo kwamba anaongoza "maiti".
Ilikuwa lugha ya kuuzi,kukera,kudhalilisha na kushusha utu wetu.lakini...
Katika historia ya Tanzania hakuna mtu ambaye amewahi kushinda urais kwa asilimia 97.6 za kura zote zilizopigwa.
Na katika hiyo hiyo historia yetu, hakuna mtu ambaye amewahi kuchaguliwa kwa kura...
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo amefanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Andrew Lentz, Ikulu ya Chamwino, kuhusu...
Wanaukumbi.
Ni mtu mjinga tu ambaye angeweza kudhania kuwa Rais Samia angejitokeza hadharani na kuongea na wazee wa Dar Es Salaam na kuanza kutiatia huruma na kubembeleza watu!..
Rais Samia...