Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati wa chama kimoja amani na utulivu mkubwa lakini muda huu ni vurugu. Vyama vingi zao la ukosefu amani Vizuiwe
0 Reactions
19 Replies
392 Views
Kundi la wanaharakati na watetezi wa haki za binadamu nchini Kenya limekamatwa leo Desemba 9, 2025 nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi wakati wakikabidhi ombi linalopinga rekodi ya Rais...
0 Reactions
2 Replies
305 Views
Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na...
2 Reactions
13 Replies
290 Views
Nimewaza tu kwamba kulikuwa na kipindi ambacho huyu ndo alikuwa ni moja kati ya think tanks ya CHADEMA Kama Mbaga Jr anavyopendaga kusema, inasikitisha sana ------------------- Mbunge wa Bunda...
3 Reactions
24 Replies
847 Views
EATV imezunguka maeneo tofauti katika manispaa ya Musoma, Mara, hali ya usalama iko shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida licha ya maduka mengi kufungwa kwa tahadhali. Hata...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Wakuu, Shirika la Umoja wa Taifa Tanzania Ofisi ya Human Rights imetoa taarifa ikisisitiza wajibu wa mamlaka kulinda haki za msingi za binadamu, ikiwemo uhuru wa kujieleza, kukusanyika kwa amani...
26 Reactions
31 Replies
1K Views
Ninaona giza mbeleni kwa upande wa Muungano wetu wa Tanganyika +Zanzibar kimuundo na kiutawala. Tukumbuke kuwa zile zilikuwa zinaitwa kero za Muungano, sasa hivi ni kama hazipo hii ni kutokana na...
2 Reactions
2 Replies
278 Views
Licha ya kuwepo kwa taarifa na tetesi za uwezekano wa kutokea maandamano katika maeneo mbalimbali nchini, hali ya amani imetawala katika mji wa Singida, huku shughuli za ulinzi na usalama...
0 Reactions
8 Replies
253 Views
Happy Independence, my fellow Tanganyikan. This nation is your birth right, and a priceless inheritance for your children and future generations. Protect it. Cherish it. Love it. And stand firm...
0 Reactions
1 Replies
124 Views
Nashangaa wanaosema Tanzania kulikuwa na maandamano! Niwekee picha Moja tu ya watu "wakiandamana" tarehe 29/10 nami nitakutumia makumi ya picha za wahuni wakiharibu mali za umma na kupora...
2 Reactions
9 Replies
210 Views
Raia bado wanasoma mchezo wa hali halisi ila mpaka mida hii mitaa inaonekana kuwa ni myeupe kabisa. Tupe update za ulipo.
14 Reactions
85 Replies
3K Views
Mchungaji Hananja amesema watanzania wanaodai maiti za ndugu zao waende wakadai Congo maana Tanzania hizo maiti hazipo.
3 Reactions
45 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya sikukuu ya Uhuru Watanzania kupitia kurasa zake za mitandao ya Kijamii. Rais Samia amesema 'Kheri ya Miaka 64 ya...
1 Reactions
13 Replies
466 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Bodaboda wa Tawi la CBT wilayani Kahama Mkoa wa Shinyanga, Amiri Ali, ameitaka Serikali kuwachukulia hatua za kisheria watu wote wanaohamasisha na kushiriki...
1 Reactions
0 Replies
162 Views
Kuyaruhusu na kuyarahisisha maandamano, ndo mbinu nzuri ya kuzuia machafuko yanayotokana na maandamano. Maandamano yakifanywa kuwa kitu cha kawaida kwa watanzania; basi ustaarabu wa kuandamana...
1 Reactions
20 Replies
460 Views
Mwatuona wajinga. Siye wajinga wenyu. Mmetupanda kichwani. Hehehe! Yalaa. Na bado. Tutaelewana walahi. Leo mwalala na Viatu. Biye biye biye. Hamjui hata nini kinakuja. Mayii. Kazi inafanyika...
10 Reactions
55 Replies
2K Views
Watu hawadanganyiki kizembe tena. Yale mambo ya kupigwa makofi halafu kupewa peremende kama watoto wadogo sasa yamekwisha. UZI TAYARI.
8 Reactions
9 Replies
293 Views
Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza...
5 Reactions
10 Replies
317 Views
Polisi wamejazana mijini hata waandishi wa habari wamezuiwa hii ni mbinu ya kutaka watu wasielekee ikulu na kuficha upatakanaji wa habari
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, amesema kuwa Kanisa Katoliki linasimamia ustawi wa jamii, heshima...
11 Reactions
54 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…