PostGE2025 Mgube: Hali ya biashara sio nzuri leo Desemba 9,2025

PostGE2025 Mgube: Hali ya biashara sio nzuri leo Desemba 9,2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
EATV imezunguka maeneo tofauti katika manispaa ya Musoma, Mara, hali ya usalama iko shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida licha ya maduka mengi kufungwa kwa tahadhali.

Hata hivyo, Innocent Mgube akiwawakilisha madereva wenzake anasema kwao kidogo imewaathiri kutokana na watu kutofungua biashara zao.
 
Back
Top Bottom