Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanaukumbi. WATANZANIA WAMEKATAA VURUGU.. WATANZANIA WAMEKATAA MAANDAMANO..WATANZANIA WAMECHAGUA AMANI.... 📌 Tulipokuwa tunasema watu walikodishwa kufanya vurugu na uasi tarehe 29 Oktoba 2025...
5 Reactions
69 Replies
899 Views
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 11, 2025 Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA0), John Heche amesema chama hicho kinaunga mkono madai ya makundi yote ya...
7 Reactions
17 Replies
563 Views
KUHUSU KUKAMATWA NA KUTESWA KWA FAMILIA NA MAJIRANI WA MWENYEKITI WA CHADEMA GEITA VIJIJINI, BI. NEEMA CHOZAILE Sisi, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),tunalaani vikali kitendo cha...
10 Reactions
37 Replies
803 Views
Mwijaku unazidi kutukwaza tena wewe hela zako zote ulizovuna kipindi cha siasa ungesaidia maskini ndo tukusamehe alafu wasanii kama walivyo kuwa kwenye gari Diamond ommy Jux Marioo warudi wakiwa...
1 Reactions
15 Replies
478 Views
Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye. Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage...
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Tanzania inaelekea kwenye mdororo wa kiuchumi ambao ungeweza kuepukika kabisa—mdororo unaosababishwa si na majanga ya kimataifa wala misukosuko ya kiuchumi, bali na maamuzi ya kisiasa: uamuzi wa...
10 Reactions
17 Replies
604 Views
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umetoa taarifa ya kusitisha vibali vyote vya usafiri isipokuwa Mabasi Yaendayo Haraka kutumia njia maalum za Mabasi Yaendayo Haraka (BRT). DART imesisitiza...
1 Reactions
5 Replies
365 Views
Nitaendelea kuwaita wajinga mpaka ujinga uwatoke kichwani mwenu. Mnalishwa kila aina ya uchafu na ninyi kwa ujinga wenu mnafungua kinywa mnakula tu. Polisi hawana muda na watu safi, watu wasio na...
9 Reactions
91 Replies
2K Views
Ford Foundation: Misaada au Mtego wa Kimataifa? Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70” Hii siyo hadithi ya kawaida ya misaada. Ni simulizi ya namna fikra, sera, na hatma ya Afrika vinaweza kufadhiliwa —...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye...
15 Reactions
144 Replies
9K Views
Leo dunia imejua mama anavyopendwa na kuheshimiwa. Kwa hesima, tumekaa ndani tena kwa adabu kuliko wafungwa. Tumesherehekea uhuru bila uhuru kama wafungwa kwa sababu ya kumtii na kumpenda...
3 Reactions
11 Replies
393 Views
Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa...
1 Reactions
3 Replies
386 Views
Isa 6:1-3 SUV ".....Katika mwaka ule aliokufa mfalme Uzia nalimwona Bwana ameketi katika kiti cha enzi, kilicho juu sana na kuinuliwa sana, na pindo za vazi lake zikalijaza hekalu. Juu yake...
19 Reactions
134 Replies
5K Views
Aiseee hii ni aibu sasa naelewa kwanini Kisiwani hapajawahi kuwa hata kwenye elfu 1 bora ya matokeo ya Necta ama Nacte[emoji23] Baada ya kupost leo kwenye page zake anafungia comments na kublock...
54 Reactions
87 Replies
4K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA bara John Heche amesema kuwa Rais Samia hana uhalali wakuiongoza nchi yetu kwa kuwa serikali yake ni haramu na ni mtawala asiye halali. Ameyasema hayo leo Desemba...
19 Reactions
21 Replies
751 Views
DKT. MWIGULU AZUNGUMZA NA VIONGOZI WA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Desemba 11, 2025 amezungumza na watendaji na viongozi wa Sektretarieti ya...
1 Reactions
3 Replies
288 Views
Wakuu, Huyu anazungumzia wapinzani gani? Kwa maana mimi kwenye uchaguzi huu sioni upinzani wowote Mgombea nafasi ya Ubunge katika Jimbo la Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jenista...
3 Reactions
22 Replies
852 Views
Watu walifurahia na kushangilia kuona watoto wetu wanapigwa risasi za vichwa. Wakihisi ndo wataishi milele. Ila ukweli Mungu ni wetu sote. Hii dunia haina mwenye... Walikuwa wanatoa amri ya...
5 Reactions
30 Replies
611 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza watendaji wa Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma kuchunguza mali za viongozi wenye viashiria vya rushwa.
2 Reactions
33 Replies
787 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022 ===== Mradi wa maji wa Kigamboni...
7 Reactions
61 Replies
6K Views
Back
Top Bottom