Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huku kwetu mitaani wafanya vurugu waliandika ujumbe wao kwenye kuta na mawe maneno 'Samia must go'. Ndiyo nikajua ahaaaaaa kumbe hizi vurugu ndiyo namna yenyewe ya kupindua. Nilipoona maandaishi...
0 Reactions
7 Replies
205 Views
Kwema wana wa Mungu JF , amani ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake, lakini atawale sana dhehebu la islamic, nawapenda na Mungu akawainuie kila mmoja kwa imani yao. Leo nipo hapa kwa ajiri ya...
5 Reactions
22 Replies
614 Views
Duru za siasa kutokea korido za Lumumba zinamtaja kama mrithi wa mzee wa kusini. Kazi ipo aisee..
2 Reactions
21 Replies
970 Views
Aliyewahi kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi katika Serikali ya Awamu ya Nne, na Mbunge mstaafu wa Jimbo la Kiteto mkoani Manyara, Benedict Ole Nangoro, amefariki dunia leo Desemba...
0 Reactions
6 Replies
464 Views
https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza...
2 Reactions
2 Replies
287 Views
Niliwahi waambia humu Wakuu, TISS na Jeshi la Polisi hutegemea Kupata Taarifa kupitia MATESO . yaan wakikukamta wewe, wakupige, wakutese, Sasa wee ndio Useme "Fulani Yuko pale ". Hata Mh...
37 Reactions
66 Replies
3K Views
Kwa mtaji wa matukio ya vifo vilivyotokea, utekaji wa wananchi na mambo mengine yasiyo ya kistaarabu, CCM imekuwa kimya na haina ubavu wa kukemea hayo. Uchaguzi wenye mashaka nao hakuna mwana CCM...
1 Reactions
12 Replies
376 Views
Kauli yako inali-cost taifa, kila nchi inafanyia review uhusiano wetu, walianza USA, EU, Sweden leo Canada hatujui nani watafuata, soon athari zake tutaziona kwenye uchumi. Maadui tulionao...
19 Reactions
57 Replies
1K Views
Hii miamba mitatu ndiyo kwa sasa ina "Public Trust" kubwa nchi hii kuliko yeyote yule katika nyakati hizi. Hawa ndiyo imani ya wananchi wengi iko kwao, neno lao lina nguvu kushinda yeyote yule...
6 Reactions
24 Replies
739 Views
Vitu ambavyo Singapore ilizingatia ambavyo Tanzania haizingati Kwa sababu ya kuchagua wasio weza kuwa viongozi.
0 Reactions
1 Replies
160 Views
Kwenye maktaba ya picha zinazohusu siasa za nchi yetu nimeipata picha hii... Naomba tuitafakari kwa pamoja. Hii picha Ina wanachama wa CHADEMA na CCM ambao wote Kwa wakati huo walikuwa ni...
3 Reactions
15 Replies
587 Views
Naelewa hasira, uchungu na hisia nyingine zilizoletwa na kile kilichotokea hasa baada Oktoba 29, lakini nadhani pamoja na yote hayo tuwaze tena ndugu zangu. Namtolea mdogo wangu Nay mfano kwa...
0 Reactions
14 Replies
358 Views
Hakuna blabla wakitaka hawa nyau tuwasamehe kutoka moyoni waje tushiriki nao kwenye maandamano tena wabebeshwe na mabango bila hivyo waende wakale walikopeleke mboga
0 Reactions
0 Replies
133 Views
KIKAO NA VIONGOZI NA WATENDAJI WA SEKRETARIETI YA MAADILI KWA VIONGOZI WA UMMA Mgeni Rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📍Ofisi za Tume ya Maadili...
0 Reactions
0 Replies
179 Views
Wakazi wa Dar es Salaam wametoa wito wa kuzingatiwa na kudumishwa kwa amani nchini, wakisema ndio msingi wa ustawi wa maisha ya watu. Wamesisitiza matishio ya vurugu yanavyoathiri shughuli za...
0 Reactions
2 Replies
141 Views
Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
DeletedMember281674
Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa...
1 Reactions
5 Replies
266 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hotuba iliyotolewa na Rais Samia kwa Taifa kupitia wazee wa Dar es salaam ndio Iliyolituliza Taifa na kuzima kabisa habari za maandamano yaliyokuwa yamepangwa na...
0 Reactions
13 Replies
414 Views
Tunajua wanafanya yote haya kumkomoa na pengine wakitarajia Lissu atawapugia magoti kitu ambacho hakipo. Kwa akili zao, chanzo cha maandamano ya Oktoba 29 ni CHADEMA hivyo wameongeza chuki kwa...
2 Reactions
0 Replies
131 Views
Moja kwa moja kwenye mada. Najua viongozi wa jwtz wako humu. Jwtz wenyewe (askari wenyewe) wako humu. Nawapongeza sana kwa kutuliza hali ya nchi. Ni wazi, bila jwtz kuwa deployed mitaani kwa...
15 Reactions
21 Replies
829 Views
Back
Top Bottom