Tizama hapa namna Jenista Mhagama alivyo na heshima na unyenyekevu wa kiafrika

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.ni kiongozi mwenye chujio la hekima la maneno yake kabla hayajatoka kinywani mwake.

Ni kiongozi ambaye huwezi ukasikia ameropoka jambo ambalo likaleta taharuki katika jamii . Ni kiongozi ambaye cheo hakijambadilisha tabia yake bali cheo kimemletea unyenyekevu na kutanguliza utu mkubwa.angalia katika picha hapa chini namna alivyo piga magoti kwa heshima ,staha ,adabu na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa cha hekima ya kiafrika.

Kwa hakika alilelewa na akaleleka na alifundwa na akafundika vyema na wazazi wake.Ni ngumu sana kumkuta mtu mwenye cheo cha uwaziri tena wa muda mrefu katika awamu zote na kwa marais tofauti tofauti akapiga magoti kwa hekima kiasi hiki. Hii ndio sababu Mheshimiwa Jenista mbali ya uchapa kazi wake lakini busara ,hekima na unyenyekevu imefanya kila Rais anayeingia madarakani kutaka kufanya naye kazi na kuwa naye katika baraza la mawaziri la mwanzo kabisa.

Hii ndio sababu huwezi ukasikia maskanda ya rushwa ya kimgusa wala kuhusishwa nayo tangia ameanza utumishi wa umma kuwatumikia watanzania katika nafasi mbalimbali.kwa hakika Mheshimiwa Jenista Mhagama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti wengi na wanawake wengi ambao wangependa kuwa viongozi wa nchi yetu katika nafasi mbalimbali.

Mheshimiwa Jenista Mhagama anaonyesha kuwa vyeo ni nafasi tu ambayo haipaswi kukubadilisha tabia yako na kuwa mtu wa kiburi na madharau.bali vyeo vinapaswa kukufanya kuwa mnyenyekevu zaidi ili kutoa fursa kwa watu wote wenye shida na kero mbalimbali kukufikia bila hofu wala uoga ili kupata msaada kutoka kwako.

Unyenyekevu ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukufikisha mbali sana na kukufungulia milango mingi sana katika ulimwengu huu.madaraka na vyeo vikubwa visikulevye bali vikufanye ukawa mtu mwenye huruma , upendo,utu na unyenyekevu mkubwa sana.Mheshimiwa Jenista Mhagama ataendelea kuwepo katika baraza la mawaziri la Rais yeyote yule atakayekuja madarakani, maana hakuna kiongozi au Rais anayeweza kumuweka kando ya baraza la mawaziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista Mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.
IMG-20240218-WA0008.jpg
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.

waziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091
Nilimuona hata Ummy Bungeni alipiga Magoti wakati anaongea na Naibu wa Afya ,sema picha sikuichukua ila ilipigwa kama hiyo
 
Nilimuona hata Ummy Bungeni alipiga Magoti wakati anaongea na Naibu wa Afya ,sema picha sikuichukua ila ilipigwa kama hiyo
Ni kweli naikumbuka vyema kabisa picha hiyo ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu akiwa kapinga magoti kwa unyenyekevu mkubwa. Naye ni miongoni mwa viongozi na mawaziri wanawake wanyenyekevu sana kama ambavyo pia nilishaandika humu jukwaani kumuhusu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia ma majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091
Mnafiki number moja huyooo sikia tuuu anauaa sanaa wagombea na wènye nia hata wanaume .....zakee pia alikuwa anamkuwadia sanaa Bwana yule kwa mtoto Dada yake Jojo sijui mnamuotaa kiwha akikutana na Mama la Mqma anajifanya ana adabu zote mnafiki dawa yao ni kunyongwa au kifo hatutaki unafikiii hapaa pelekaa hiko na uchawa wako na upinde...huyo mama ataku baka na kukukeketaa huyoo sio chawa kama yule kibwengo....wako huyu anakutahiri na kukutoa kafaraaaa kwendaaa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.

kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091
Nenda ofisini kwake ndio utatambua unoko wake upo vipi.
 
Mnafiki number moja huyooo sikia tuuu anauaa sanaa wagombea na wènye nia hata wanaume .....zakee pia alikuwa anamkuwadia sanaa Bwana yule kwa mtoto Dada yake Jojo sijui mnamuotaa kiwha akikutana na Mama la Mqma anajifanya ana adabu zote mnafiki dawa yao ni kunyongwa au kifo hatutaki unafikiii hapaa pelekaa hiko na uchawa wako na upinde...huyo mama ataku baka na kukukeketaa huyoo sio chawa kama yule kibwengo....wako huyu anakutahiri na kukutoa kafaraaaa kwendaaa
Nakushauri kuwa usipende kuandika vitu kwa lengo la kutaka kumchafua mtu kisa tu alikushinda kwenye uchaguzi. Unaandika vitu huna hata ushahidi wa nani aliuwawa halafu unataka watu wakuamini kwa uzushi wako
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mheshimiwa Jenista mhagama ni mama mwenye unyenyekevu na heshima kubwa sana.ni mama na kiongozi ambaye licha ya ukubwa wa cheo chake lakini amekuwa ni mtu mkarimu ,mwenye heshima na unyenyekevu mkubwa sana.kuanzia katika kuongea mpaka katika matendo yake.

Ni kiongozi ambaye huwezi ukasikia ameropoka jambo ambalo likaleta taharuki katika jamii . Ni kiongozi ambaye cheo hakijambadilisha tabia yake bali cheo kimemletea unyenyekevu na kutanguliza utu mkubwa.angali katika picha hapa chini namna alivyo piga magoti kwa heshima ,staha ,adabu na unyenyekevu wa kiwango cha juu kabisa cha hekima ya kiafrika.

Kwa hakika alilelewa na akaleleka na alifundwa na akafundika vyema na wazazi wake.Ni ngumu sana kumkuta mtu mwenye cheo cha uwaziri tena wa muda mrefu katika awamu zote na kwa marais tofauti tofauti akapiga magoti kwa hekima kiasi hiki. Hii ndio sababu Mheshimiwa Jenista mbali ya uchapa kazi wake lakini busara ,hekima na unyenyekevu imefanya kila Rais anayeingia madarakani kutaka kufanya naye kazi na kuwa naye katika baraza la mawaziri la mwanzo kabisa.

Hii ndio sababu huwezi ukasikia maskanda ya rushwa ya kimgusa wala kuhusishwa nayo tangia ameanza utumishi wa umma kuwatumikia watanzania katika nafasi mbalimbali.kwa hakika Mheshimiwa Jenista mhagama ni mfano wa kuigwa kwa mabinti wengi na wanawake wengi ambao wangependa kuwa viongozi wa nchi yetu katika nafasi mbalimbali.

Mheshimiwa Jenista mhagama anaonyesha kuwa vyeo ni nafasi tu ambayo haipaswi kukubadilisha tabia yako na kuwa mtu wa kiburi na madharau.

Unyenyekevu ni kitu kidogo sana lakini kinaweza kukufikisha mbali sana katika ulimwengu huu.madaraka na vyeo vikubwa visikulevye bali vikufanye ukawa mtu mwenye huruma , upendo,utu na unyenyekevu mkubwa sana.mheshimiwa Jenista mhagama ataendelea kuwepo katika baraza la mawaziri la Rais yeyote yule atakayekuja madarakani, maana hakuna kiongozi au Rais anayeweza kumuweka kando ya baraza la mawaziri kiongozi kama Mheshimiwa Jenista mhagama aliye jaa unyenyekevu wa hali ya juu na mwenye kutimiza vyema majukumu yake anayokuwa kapatiwa na kuaminiwa.View attachment 2908091
Chawa
 
Back
Top Bottom