Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Minong'ono ni mingi: oooh ameuawa! Mbaya nani vile? Yule! Ndugu zanguni, kwa tunaoamini na kusoma vitabu vya Mungu (Biblia na Quran), utaelewa kwamba, miili ya nyama na damu, pasipo roho, ni sawa...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Haki ya kuishi ndio haki muhimu kuliko zote chini ya jua. Nimagonjwa pekee , ajari na hukumu za kifo zitolewazo na mahakama halali za haki vyenye uwezo wakumdhulumu binadamu uhai wake.. Kwa...
5 Reactions
7 Replies
329 Views
GT Bado hakueleweki. Hapajachangamaka bado. Hang over ya maandamano inawasumbua wengi. Ama kweli GenZ wanajua kunyoosha maCCM bado watu wanajivuta kutoka nje huku hali ya usafiri ikiwa...
4 Reactions
26 Replies
758 Views
Kuna kijana anaitwa Ramso, alipost hii video Tiktok, alikuwa anaomba Samia ajiuzulu atuachie nchi Huyu ni kijana mdogo tu alikuwa anatoa maoni yake ya kisiasa kuhusu utendaji kazi mbovu wa Rais...
9 Reactions
63 Replies
3K Views
Unapozungumzia Vijana wasomi na Muhimu katika kukuza na kubadirisha mitazamo ya baadhi ya wachumi ambao ni wachumia tumbo basi huto sita kumtaja Mh. Mwambe ambaye ni miongoni mwa viongozi wa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Dah! This guy Palamagamba Kabudi takes shilling to a whole ‘nother level! It’s hard listening to him spew his nonsense propaganda. Anywho, ni kipindi cha leo Al Jazeera...
9 Reactions
77 Replies
2K Views
1. Lengo Kuu: Kusimamisha Shughuli za Uchumi Kwa mujibu wa hoja zinazoibuka mitandaoni, moja ya malengo ya kundi kubwa la wananchi lililokuwa likiunga mkono maandamano haya ni kuathiri mzunguko wa...
8 Reactions
23 Replies
863 Views
Ni nani huyo Jenista Joakim Mhagama? Mbunge wa Peramiho kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)? Je, ni yule yule aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu katika kipindi cha mwaka 2000-2005? Akiwa karibu...
2 Reactions
91 Replies
18K Views
Niwaonye tu viongozi wetu wa Sekretarieti ya Maadali kwamba, msije mkaingia mkenge huo. Kila siku akikutana na ninyi lazima ajisemeshe na kulialia, tunataka ateme ndoano kabisa Sisi tunaokaa na...
3 Reactions
2 Replies
260 Views
Dini na siasa ni mifumo yenye nguvu kubwa katika kuongoza maisha ya watu. Vyote viwili vinaongoza fikra, maamuzi, na maadili ya jamii kwa njia ambazo hazionekani moja kwa moja. Siasa hutumia dini...
1 Reactions
4 Replies
217 Views
Wote mnaojaribu kutushawishi "kufuta ukungu wa kioo hiki”, nadhani mmeshau kioo kilichovunjika hakifutwi, kinatupwa! Hali ya kuota ukungu ni ile ya kosa la kibinadamu, hali ya kusahau au kuzidiwa...
1 Reactions
6 Replies
260 Views
Rais Samia akipokea Hati za Utambulisho wa Mabalozi, Ikulu Chamwino - Disemba 11, 2025
8 Reactions
59 Replies
3K Views
Nasikiliza hapa Maria space naona kama anajinyea na kujiharishia kwa hasira jamani , leo anaongea kwa msisitizo na mishipa imemtoka ya shingo kama vile anatumia dawa zileeeeeeeee 2. Mange kimambi...
3 Reactions
40 Replies
774 Views
Ikiwa Chama CHETU kilipata kura Mil 32 Maana yake hawa ni watu wazima karibia nusu ya watz wote Ikiwa Kazi ya mziki n.k ni ushawishi na uliwashawishi watu mil 32 je hawatoshi kusapoti muziki...
4 Reactions
4 Replies
221 Views
Wale waliotaka kuandamana Gz waliomba waandamane Kwa amani. Wangeruhusiwa ingesaidia kujua wanataka Nini. Kwa namna walivyo nificha siku Ile ni sahihi kusema watatafuta Plan C. Ikumbukwe...
1 Reactions
0 Replies
134 Views
Mpango kazi ni mkubwa na mpana sana. Tuna assume shughuli za uchumi za bandari zilisimama, kuna Athari hasa ya usafirishaji. Huu hapa chini ni Sehemu ya mpango kazi wa kumtoa Samia Swali...
1 Reactions
4 Replies
132 Views
Msanii wa muziki wa Hip Hop Tanzania Wakazi amemjibu Mkurugenzi wa kituo cha Habari cha efmradio Majizzo baada ya Majizzo kuzungumza leo Desemba 11 na kuwaombea msamaha kwa wananchi juu ya...
8 Reactions
40 Replies
1K Views
Nina wasiwasi na huyu mdada inawezekana kashachukua pesa Analeta story za maandamano tarehe 25 yaani siku ya Christmas? Serious? Yaani watu waache kusherekea sikukuu za mwisho wa mwaka wafungiwe...
12 Reactions
79 Replies
2K Views
Mamlaka za Uhamiaji yaanza kutekeleza sheria ya kuoneshwa akaunti za Mitandao ya Kijamii ya ya wanaoingia nchini kama watembezi au kazi, wanafunzi n.k : Ili kutii Agizo tamko la Januari 2025...
6 Reactions
24 Replies
634 Views
Maoni yangu kwa Wananchi na Gen Z. Kwenye maandamano yatayofuata tufuate siku ambapo kuna public event ambayo lazima watu watatoka. Siku ya uchaguzi ilikuwa rahisi kwa sababu hawakuweza kuzuia...
7 Reactions
31 Replies
762 Views
Back
Top Bottom