Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wapinzani wapo kama milofa fulani, wanasubiri tukio ndio wadandie mada kama komba. Kila tukio linalotokea Tanzania wapinzani lazima walidandie. Liwe zuri au baya. Soon sasa hivi wapinzani...
6 Reactions
28 Replies
552 Views
Hio ndio taarifa mpya.
2 Reactions
8 Replies
268 Views
Wakuu poleni na pilikapilika za Mapokezi, hakika leo historia imeandikwa, sasa kwa vile mambo ni mengi na muda ni mchache naomba niingie moja kwa moja kwenye mada. Baada ya Mapokezi mazito ya...
25 Reactions
2K Replies
101K Views
Wakuu Nimekutana na hii Video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii inamuonesha mjomba wa bibi harusi akipokea kipigo baada ya kudaiwa kumsifia Rais Samia kwa kusema "Samia ni rais mzuri"
27 Reactions
37 Replies
2K Views
GTs, Juzi kati hapa tulionya, walioshiriki na kushuhudia mauaji ya ndugu zetu watanzania wajue hawapo salama kabisa. Na ile tume ya Dkt Samia tumewa tahadharisha siyo ya kushirikiana nayo maana...
27 Reactions
87 Replies
3K Views
To be honest sioni potential candidate wa Chadema au UKAWA atakayeweza kuwa mgombea Urais baada ya 'kipindi' cha MAGUFULI kukamilika. Wale vijana niliohisi wanaweza kuwa tishio mfano Tundu lissu...
0 Reactions
3 Replies
841 Views
Waziri wa Afya ambaye pia ni Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama akigalagala ikiwa ni ishara ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika jimbo...
14 Reactions
223 Replies
12K Views
Mimi kawaida huwa nikimuona mtu yeyote anaongozwa na mihemko katika kuongea kama Jenista Mhagama alivyokuwa leo kwenye bunge la Jumapili huwa napenda kujua historia yake fupi kwani unaweza...
6 Reactions
135 Replies
50K Views
Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana...
5 Reactions
26 Replies
912 Views
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuwaongoza Waombolezaji Kuaga Mwili wa Jenista Joakim Mhagama aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho. Tarehe: 13.12.2025 Muda...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
Zamani, akichaguliwa au kuteuliwa mtu, lazima historia na maisha yake vijulikane, familia, elimu, maadili, umri nk Siku hizi, wanachomolewa watu wasiojulokana na kusikojulikana na kuteuliwa na...
3 Reactions
17 Replies
321 Views
Kwa hisani ya JUNA: "Leo Ndio nimeamini kuwa Chadema sio Chama Cha Siasa Bali ni NGO ya Wazungu, Yaani Makamu Mwenyekiti anawezaje kusema anataka Serikali ya Mpito itakayokuwa Nchini ya UN, Yaani...
2 Reactions
21 Replies
428 Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Tanzania imebahatika kuwa na Rais ambaye anaweza kuitetea na Kuilinda Tanzania dhidi ya manyanyaso ya mabeberu. ameionyesha Dunia kuwa Tanzania inaweza kusimama...
-2 Reactions
53 Replies
984 Views
Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana. Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale...
2 Reactions
3 Replies
215 Views
Kutoka makala yenye episode ya arusha one radio, chanzo cha vita ni mwanajeshi wa uganda kufungwa tanzania, however katika makala za encyclopedia kuna taarifa kwamba, Nyerere alifadhili mapinduzi...
2 Reactions
56 Replies
968 Views
Mwandishi wa makala za uchunguzi ndugu Fortunatus Buyobe anadaiwa kutekwa jioni ya leo maeneo ya Dar. Hata hivyo waliomchukua wamejitambulisha kwake kuwa ni Polisi ila haijajulikana alipopelekwa...
23 Reactions
158 Replies
5K Views
1. Haki ya Uhai – Ibara ya 14 “Kila mtu anayo haki ya kuishi…” Ikiwa kuna mauaji, matumizi kupita kiasi ya nguvu, au vifo visivyoeleweka vinavyotokana na vyombo vya dola—hili linagusa moja kwa...
4 Reactions
21 Replies
599 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemtaja marehemu Jenista Mhagama kuwa kiongozi jasiri, mlezi wa wengi na nguzo muhimu ya matumaini kwa wanawake na vijana...
2 Reactions
4 Replies
320 Views
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji Utawasikia wapumbavu "Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na...
19 Reactions
33 Replies
768 Views
Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya...
35 Reactions
211 Replies
6K Views
Back
Top Bottom