jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
To be honest sioni potential candidate wa Chadema au UKAWA atakayeweza kuwa mgombea Urais baada ya 'kipindi' cha MAGUFULI kukamilika.
Wale vijana niliohisi wanaweza kuwa tishio mfano Tundu lissu na Mnyika naona wamepoteza muelekeo ili hali vijana wanaofanana nao walioko CCM kama Mwigulu,Makamba na Kigangwallah wakionesha utulivu .
Kwa mantiki hii bado Chadema itawabidi wasubiri kukatwa kwa kijana wa CCM hapo 2025 ili wapate mgombea wa 'kuisumbua CCM' na sio kushika dola.
Tukifika 2025 tusianze kupigiana kelele za kuibiwa kura au kunyanyaswa na polisi tutataka kusikia mwentekiti wenu wa kudumu anaachia ngazi kwa pilika pilika zake za kubadili gia angani.
Kamwe msitegemee watanzania watachagua makapi !!
Kazi njema!