Kwanini tunatawaliwa na watawala tusiowajua

Kwanini tunatawaliwa na watawala tusiowajua

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,100
Reaction score
13,698
Zamani, akichaguliwa au kuteuliwa mtu, lazima historia na maisha yake vijulikane, familia, elimu, maadili, umri nk

Siku hizi, wanachomolewa watu wasiojulokana na kusikojulikana na kuteuliwa na kuendelea kukaa kwenye ofisi zetu.

Mfano, nani anajua historia ya Waziri wetu wa fedha wa sasa?

Tunaficha nini kama si ukilaza, jinai, kujuana, na mengine kama haya?
 
Achana na huyo kuna yule Ng'wasi ambaye kwa sasa ni Naibu Waziri wa Kilimo na Ufugaji

Alikuwa ni kijana wa YUVISISEMU ila leo naona kawa Naibu Waziri

We dont know who she is ila kwa sasa ni decision maker
 
Back
Top Bottom