Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,696
Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania?

Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna kijana ataemwaga damu yake Kwa ajili yenu.

lnatakiwa nyie ndio mfe mapema Ili vijana tuishi. Sasa nashangaa mpaka Leo mpo hai, wajinga nyie.

Nione tena mnaweka vi nyuzi vyenu uchwara humu. Kila mtu afe kivyake maana hata huyo Mbowe na chama chake anayejifanya mpinzani ndio walewale
 
Na hasa ukikumbuka vitamu vya kunoga

FB_IMG_1719370037416.jpg
FB_IMG_1719370030065.jpg
DSC_0069.JPG
 
Kuandamana Bongo wote tuingie front kuanzia waTz waliokufa na kuzikwa mwaka 1961 up to date, vikongwe, wazee, wanaume wanawake viwete hadi vipofu
Kiufupi home wabaki watoto chini ya miaka 10 tu

Hakuna cha Gen Z au A wote ni nchi yetu na uzembe wa wazee kama Tate Mkuu RRONDO ndio umetufikisha hapa
 
Unajidanya tu ,siku ya kufa na aina ya kifo ilishapangwa kama ni risasi, ugonjwa , ajali n.k so kama ni risasi hajalishi upo kwenye maandamano au la utalamwa ,hivyo hivyo kama ni ugonjwa, ajali n.k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom