Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili.
Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale...
Mfanyabiashara Yona Sonelo kutoka Jijini Dar es salaam amesema alikuwa miongoni mwa watu wa karibu waliokuwa wakifahamiana vyema na marehemu Jenista Mhagama, na kueleza kuwa alimpa moyo baada ya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
Waziri wa Afya, Mohammed Mchengerwa, amefichua kuwa licha ya jitihada kubwa zilizofanywa na madaktari wa Hospitali ya Benjamin Mkapa kuokoa maisha ya aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama...
Imeelezwa kuwa, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu ameiandikia barua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam akihoji ni lini hasa kesi...
Baada ya kueenea kwa taarifa juu ya kuzuiwa kwa Aliyewahi kuwa waziri wa Afya Ummy Mwalimu kutoka nje ya Nchi amevunja ukimya nakusema kuwa "Nawashukuru wote walionifikia kutaka kujua ukweli...
Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi...
Habari wakuu!! Niende kwenye hoja yangu
Kila kukicha CHADEMA wanakuja na mambo yale Yale waliyoyatamka juzi ,Jana nk huku wakiwaacha wananchi hewani bila kujua ni kipi kifanyike, CHADEMA...
Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi...
Ukija kichwa kichwa, utaona team ya wasanii kama hawajui kucheza mpira, kama hawaelewani, wanapishana, ila bado inabaki kuwa team moja. Wana mbinu nyingi za kushinda hii game.
Moja ya mbinu yao...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ameomba familia ya marehemu Jenista Mhagama kuendelea kuwa wamoja, kushikamana na kuepuka kusikiliza maneno yoyote ya kuwagawa, akisisitiza umuhimu wa upendo na...
Hapa ndipo nimeona hawq jamaa hawajitambui na wanachowaza ni ugali na nama tu
Yaani wanasema tatizo ni vijana kutokuwa na ajira sekta rasmi au isiyo rasmi
Juzi kati nikaona mkuu wa mkoa Tabora...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema aliyekuwa Waziri wa Afya na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama alikuwa mstari wa mbele kuwatumikia Wananchi, Mwalimu wa uongozi na Mtu mwenye...
Mashekhe waliokutana chini ya Shekhe Mkuu Mufti Abbakari, kwenye msikiti wa kwa Mtoro, jijini Dar es Salaam wamefanya ibada maalum ya kumwombea Rais Samia ashinde kwenye uchaguzi mkuu ujao...
Tume imeanza rasmi utekelezaji wa majukumu yake kwa mujibu wa Sheria ya Tume za Uchunguzi (Sura ya 32).
Inawaalika wananchi na wadau wote kutoa taarifa, ushahidi, maoni na mapendekezo...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kutoitambua serikali ya Tanzania iliyozaliwa na uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ikidai kuwa uchaguzi huo uligubikwa na ukiukwaji wa haki...
Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wamewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), kwa ajili ya kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kuzungumza nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.