Utetezi wa tano wa Tundu Lissu, Mahakama Kuu ya Tanzania kwenye kesi yake ya Uhaini, Septemba 15, 2025.
Hii ni baada ya kutupiliwa mbali kwa pingamizi lake la awali, hukumu ipo hapa: GE2025 -...
Ndugu zangu Watanzania,
Ukiachana na uchapakazi , uzalendo na kubadilika kulingana na Mazingira kwa Mheshimiwa Jenista Mhagama.
Lakini ukweli unabakia kuwa heshima na unyenyekevu wake ni...
Timu ya watu Kwenda kumshawishi Lissu kwamba
Aachiwe huru ila aondoke nchini imegonga mwamba baada ya Lissu kugoma sharti hilo,
Wakamshauri Rais kuwa Kama kagoma basi afungwe kifungo cha muda...
WATU WENGI HUFIKIRI UKATILI NDIO UJASIRI. HUWEZI UKAWA KATILI NA HAPOHAPO UKAWA JASIRI. HAIPO HIVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna kufundishwa kuwa jasiri na kuna kufundishwa katili...
Haya Samia kasema walioandamana siku ya uchaguzi walitoka nje ya nchi, tunajifanta kukubaliana naye.
Je, JWTZ na vyombo vingine vya ulinzi na usalama wenye jukumu la kulinda mipaka yetu walikuwa...
Atashinda na kuapishwa na kuunda serikali ila vuguvugu hili litamsumbua sana.
Kiasi fulani watu wamesha jua inawezekana hivyo kuliamsha tena itakuwa mara kwa mara.
Atakuwa mara nyingi kwenye...
Guys, Waziri Mkuu Dkt. Nchemba akizungumza na waandishi wa habari, wakati akitoa tathmini ya uharibifu uliotokea wakati wa Maandamano Desemba 29 na siku zilizofuata alisema kuwa vituo vya mafuta...
Katika ulimwengu huu kosa vyote ila kamwe usikose akili.
Katika ulimwengu huu kubali kukosa vyote ila sio kukosa utashi wa kukataa udhalimu na kusimamia kutetea haki na ukweli.
Wakati Wananchi...
GTs,
1️⃣
Baada ya matukio ya mauaji ya vijana waliokuwa kwenye maandamano kuanzia tarehe 29 Oktoba, Rais Samia alihutubia wazee wa Dar es Salaam. Badala ya faraja na uwajibikaji, hotuba ilibeba...
Siku 9 kwenda D9
Vitu vya muhim sana vimeanza kupanda bei
Sokoni hakushikiki, nimepita buchani, nyama imefika 15k. Wenyewe wanasema kuanzia tarehe 7 hawafungia mabucha yao
Baadhi ya kampuni za...
Watu wameingia kwenye taharuki kufuatia kinachoitwa D9 ambacho ni maandamano yaliyopangwa kufanyika
usafiri wa umma, vituo vya mafuta, upatikanaji wa Kondomu na vyakula vikavu. CHADEMA ndio...
Kutoka kwa Tundu LISSU...
Akiwa anandika kutoka Gereza la Ukonga Central baada ya takribani siku 240 za mahabusu, anaeleza kuhusu mtikisiko wa kisiasa nchini Tanzania na kiwango kikubwa cha...
CHADEMA wajanja sana wameshirikiana na jua pamoja wanaharakati kutoka nje kukukasha vyanzo vya maji ili ionekane mama hapendwi ila UVCCM😂
Haiwezezekani wazungu watuonee wivu Kwa rasilimali zetu...
Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za...
Nimeshangaa eti Samia naye anaonesha kuumia na kusikitisha kuona Jenista Mhagama kafa. Hivi analia kweli au anajifanyisha? Hahahaaa... 🤣🤣
Dunia🌎 simama nishuke.
Msanii wa Royal tour analeta...
" ukifuatilia sana hili sakata la wasanii na wananchi kwanza huwezi kugombana na mwenye nyumba, wewe msanii ni mpangaji na mwananchi ni mwenye nyumba. Alafu hata sisi watu wazima tunakuambia...
Mnamo dec.9 wanasiasa na wanaharakati wasiojulikana na wanaojulikana lakini wakiwa mafichoni kusikojulikana, walituma mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana kufanya maandamo haramu yasioyo na...
Huku kwenye serikali za mitaa tunakoishi watu wanawaona wafuasi wa chadema kama ni rejected society, kama ni watu wenye laana, kama ni watu wasio na akili timamu, kama ni kikundi cha matusi, kama...
Huu ni msimu wa kilimo kwenye maeneo mengi ya mikoa ya Tanzania, hebu ndugu zangu watanzania tutafute maeneo tulime, Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassani anagawa mbolea za ruzuku za kutosha huku...
Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Ado Shaibu amechangia Shilingi Milioni tatu katika harambee ya ujenzi wa Bwalo la Chakula na Ofisi ya Utawala katika Shule ya Msingi Jamhuri iliyopo Wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.