Mheshimiwa Jenista Mhagama alikuwa ni kiongozi anayehakikisha kazi anazofanya zinakuwa na matokeo - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
📍Dodoma.
🗓️Desemba 11, 2025.
Tupe ukweli maana hii kitu nimeikuta inajadiliwa pahala.
Kuwa ulipima mzani ukaona hawa jamaa sio wa kufanya nao kazi. Yaani CCM hii.
Kwa nini uliacha kujiuzuru na ukaensldele na hawa watu?
Ili...
Sababu za kufungiwa JF ni muendelezo wa ukandamizaji wa uhuru wa kujielezea ndio maana muda umeisha na JF haijafunguliwa kinyume cha sheria, ni upumbavu.
Wanazima moto kwa kujaza mafuta na...
Nimeuliza hili swali sababu dalili zilishaonekana kama mama alikuwa hapendwi na baadhi ya watu ingawa idadi imeongezeka mara dufu
Hivi angeamua kujikalia pembeni kama Majariwa angepungukiwa na...
DKT. MWIGULU: FANYENI MAPITIO YA TAMKO LA MALI NA MADENI
▪️Ataka maeneo yaliyokithiri kwa rushwa yapewe kipaumbele
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ni lazima yafanyike mapitio ya...
Ukisikiliza maneno ya viongozi wa CHADEMA unaona kabisa Hawa watu siyo wenzetu kabisa, hawana Utanzania mioyoni mwao, ni watu wasioitakia mema nchi yetu, ni watu ambao hawafai mahali popote, ni...
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?
Maandamano...
Nimefuatilia mijadala ya watu sehemu mbali mbali na kugundua kuwa huu wa utawala wa Mama watu wanasema hawaukubali.
Mbaya zaidi wanasema tangu tumepata uhuru huyu ndie mkuu wa nchi anayechukiwa...
Siitetei awamu ya Samia, wala ya Magufuli,
Kwa mujibu wa barua ya Polepole amejiuzulu kwa kuwa uongozi wa sasa umeshindwa kusimamia maadili, matakwa ya wananchi na pia umefanya vibaya kukata...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 14 Desemba 2025. Makamu wa Rais anatarajiwa...
Nchi yoyote hujengwa na watu wanaothubutu, wenye ujasiri, wazalendo na wasiochoka kufanya tafiti na kuziweka kwenye majaribio tafiti zao
Yote hayo kwa vijana wanaopata bahati ya kusoma hadi ngazi...
Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akiongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama katika ibada iliyofanyika...
Wakrislam tumefikiwa 😂 😂 😂
----------------
"Ni nani amabye hajui kwamba moja wapo ya mikakati ya wanaharakati kwa ajili ya kutekeleza mambo yao ilikuwa kutugawa kupitia dini?. Kutugawa...
Kuna baadhi ya watu hawamtaki Samia ila wanamuunga mkono Nchimbi.
Ila kiuhalisia wote hawafai, Samia akivuliwa urais itabidi aondoke yeye, makamo wake na baraza lote la mawaziri .
Itakuwa sawa...
Afrika kusini, Serikali ya Makabulu ilimkamata Mandela na kumfungulia Kesi ya Uhaini hapa Tanzania Serikali ya CCM imemkamata Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu na kumfungulia kesi ya Uhaini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.