PostGE2025 Tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu ambao hawajitambui muwe mnaelewa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
56,371
Reaction score
45,968
Wanaukumbi.

HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA

Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa..

1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na waligomea uchaguzi na walisema uchaguzi hautafanyika
2. Wanataka kuwe na serikali ya mpito iongozwe na mashirika ya kimataifa. Yaani wazungu waje waongoze serikali ya mpito ndani ya Tanzania?
3. Yaani wanataka AU au SADC waje waunde serikali ya mpito kuongoza Tanzania?

Hivi hawa watu wana akili au ni wajinga tu wa asili na ujinga ni kitu cha maana sana kwenye utambulisho wao kama chama cha siasa. Inawezekana tunahangaika sana kuwaelewa kwa ujinga wanaofanya na hatuelewi kuwa ujinga ni moja ya sifa ya chama chao na lazima uwe mjinga ili uwe kiongozi ndani ya hiki chama..

CHADEMA waligomea uchaguzi na waliapa kuwa hakuna uchaguzi utafanyika mwaka huu na hakuna mtu atapiga kura. Uchaguzi umefanyika na viongozi wamechaguliwa wakati wao walisusa na walidhani kuwa bila wao uchaguzi hautafanyika. Sasa wanahangaika nini? Yaani wanataka nini haswa? walisema hawatashiriki uchaguzi mpaka katiba ibadilishwe sasa si wangoje ibadilishwe hiyo katiba au?

Watanzania ni muda sasa wana kuanza kutafakari kwa kina aina ya watu kama hawa wanaotaka kuiuza hii nchi kwa mabeberu maana kwa vyovyote vile haya ni maelekezo ya mabwana zao wale waliopitisha maazimio kule bunge la ulaya..Yaani nchi iongozwe na serikali ya mpita ya wazungu? Hivi nyie watu mna akili kweli?

Mlisema mnaandamana na kupindua serikali mmefeli na mmekwama mkaishi kusema eti mmekwamisha shughuli za kiuchumi.. Kwani tarehe 9 Dec ni siku ya kazi? Haya mmekwama hilo mkaanza blah blah za maandamanao yasiyo na kikomo! Vipi yamefikia wapi maandamano yasiyo na kikomo? Sasa hivi mnaanza blah blah za oooh serikali ya mpito..

HAMNAGA AKILI KABISA NYIE WATU
 
Abdul itakupendeza ongeza na vilainishi ili wakishindwa kukutetea.
Screenshot_20251210-215837.png
 
Wewe aidha ni Mwehu au huna akili. Hayo matatu uliyoweka hapo yamethibitisha ufinyu wa akili yako.
1.CHADEMA kutotambua matokeo ya uchaguzi ni Mwehu tu atajifanya kutoelewa. Tangu awali walisema Hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya sheria, mkalazimisha uchaguzi mkajipisha Kura Mtu mmoja karatasi 200, halafu mnategemea CHADEMA watambue matokeo ya huo uhuni?
2.Serikali ya Mpito. Hapa unajitoa akili eti CHADEMA wanataka Wazungu waje kuongoza nchi? Tueonyeshe hicho kipengele kwenye maazimio ya CHADEMA. Mnakaa na wajinga wenzio mnapeana mashudu wapi pameandikwa hivyo. Kwako ukisema kuwe na serikali ya Mpito ambayo uundwaji wake utasimamiwa na UN, AU au SADC ndo umeleta Wazungu kuongoza nchi? Kama mnaona UN kuna wazungu, je AU na SADC nao ni Wazungu au visiwa wa Comoro na Shelisheli?
3.AU na SADC kusimamia uchunguzi na kilichotokea nchini mnaogopa nini kama Hakuna mnachoficha ambacho mnajua mlifanya gizani?

NB: Sioni mkiongelea vipengele vya Utekaji, Mauaji, utesaji, unadhirifu wa Mali za umma, ufisadi nk ambavyo CHADEMA wamevitolea tamko. Hivyo hamjaviona?

Wewe punguani kweli chama hakina hata mwenyekiti wa kijiji kinatoa tamko😅
 
Yaani Heche anaongelea uchaguzi gani kwanza? Yaani uchaguzi upi kwa mfano anaoongelea ? H
 
CCM ni chama cha magaidi, kinaongoza hii nchi kwa kumwaga damu za watu. It is a terrorist organisation.
 
Sasa kwani uchaguzi ulifanyika hapa Tz?!.
Waliahidi watauzuia uchaguzi na kweli wamefanya hivyo...kila mwenye akili timamu anajua wananchi hawakujitokeza kwenda kupiga kura oct 29!.
Hivyo samuya ni rais haramu!
Kura tumepiga asubuhi na mapema, nyinyi mlioamua kuleta vurugu mlidhibitiwa wakati kura zikiendelea kuhesabiwa.

Mlitaka nchi isitawalike kwa jinsi mlivyo na akili mbovu lakini sasa inaendelea kutawalika. Mnamalizia hasira zenu kwenye maandamano ya JF na instagram huko mtaani mkitoka mmepigwa risasi.
 
Wanaukumbi.

HAWA NI WENDAWAZIMU KABISA

Yaani tunapokuwa tunasema CHADEMA ni kikundi cha watu wajinga sana muwe mnaelewa..

1. Wanakataa kutambua matoke ya uchaguzi ambao hawakushiriki na waligomea uchaguzi na walisema uchaguzi hautafanyika
2. Wanataka kuwe na serikali ya mpito iongozwe na mashirika ya kimataifa. Yaani wazungu waje waongoze serikali ya mpito ndani ya Tanzania?
3. Yaani wanataka AU au SADC waje waunde serikali ya mpito kuongoza Tanzania?

Hivi hawa watu wana akili au ni wajinga tu wa asili na ujinga ni kitu cha maana sana kwenye utambulisho wao kama chama cha siasa. Inawezekana tunahangaika sana kuwaelewa kwa ujinga wanaofanya na hatuelewi kuwa ujinga ni moja ya sifa ya chama chao na lazima uwe mjinga ili uwe kiongozi ndani ya hiki chama..

CHADEMA waligomea uchaguzi na waliapa kuwa hakuna uchaguzi utafanyika mwaka huu na hakuna mtu atapiga kura. Uchaguzi umefanyika na viongozi wamechaguliwa wakati wao walisusa na walidhani kuwa bila wao uchaguzi hautafanyika. Sasa wanahangaika nini? Yaani wanataka nini haswa? walisema hawatashiriki uchaguzi mpaka katiba ibadilishwe sasa si wangoje ibadilishwe hiyo katiba au?

Watanzania ni muda sasa wana kuanza kutafakari kwa kina aina ya watu kama hawa wanaotaka kuiuza hii nchi kwa mabeberu maana kwa vyovyote vile haya ni maelekezo ya mabwana zao wale waliopitisha maazimio kule bunge la ulaya..Yaani nchi iongozwe na serikali ya mpita ya wazungu? Hivi nyie watu mna akili kweli?

Mlisema mnaandamana na kupindua serikali mmefeli na mmekwama mkaishi kusema eti mmekwamisha shughuli za kiuchumi.. Kwani tarehe 9 Dec ni siku ya kazi? Haya mmekwama hilo mkaanza blah blah za maandamanao yasiyo na kikomo! Vipi yamefikia wapi maandamano yasiyo na kikomo? Sasa hivi mnaanza blah blah za oooh serikali ya mpito..

HAMNAGA AKILI KABISA NYIE WATU
Pumbavu , hichi chama hakushiri uchaguzi why kinenea mabaya ?
 
Back
Top Bottom