PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

PostGE2025 Tangu aongee na 'wazee' wa Dar mbona Rais Samia haonekani?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,698
Kichwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha? Je, anaumwa?

Je,ameaga kama wanavyosema wasiomtakia wala kututakia mema?

Je, anatafakari kamba mpya au kutubia madhambi ya kuuawa kwa Gen Z wetu?

Yuko wapi Samia?
 
Wanasema eti ni huyu hapa

View: https://www.youtube.com/live/yJVDHbUrzlY?si=liN_dQ8YvkkKe6to

Ila serikali iliyoingia madarakani kwa njia za kihuni, hata mambo yake huwa ni ya kihuni huni tu

Yaani wamethubutu kabisa kutupostia uongo huu wananchi? Really?

Mimi hata sijui wanaogopa nini kwa sababu tangu lini mtu kuugua na pengine hata kufa yakawa matukio ya ajabu? Si alisema mwenyewe kwa Mzee ally Kibao kuwa kufa ni kufa tu?

After all, tunasahau kwa muda mfupi sana. Agustino Polepole (kakaye Polepole) aliapa kulipa kisasi na alisema wazi anaanza na nani vile?

Kwa herini🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️🚶🏼‍♀️
 
Kikchwa cha habari kiko wazi. Ukweli ni upi? Nini maana ya Mwigulu kusema kuwa hata akiwa waziri mkuu wa wiki moja yatosha?

Yuko wapi Samia?
Hii ni Spinning ya hii regime haramu at its best!

Ni mvumo wa upepo wa kupunguza joto la yaliyotokea October 29 na lockdown ya 9/12

Iko hivi....tukufiche, usionekane, watu badala ya kujadili yaliyotokea, watakujadili wewe! Kwa hili Utawala umefanikiwa kwa almost 70-80 % upepo umehama, joto limepungua!

Think beyond the box!...

mtakuja nielewa siku shangazi akionekana gulioni...joto likiwa lishapoa!
 
Back
Top Bottom