PUBLIC NOTICE
The Inquiry Commission, established to investigate the violence unfolded during and after the October 29 General Election wishes to inform all citizens that it has officially...
Sijui kama ni makusudi, bahati mbaya, au kwasababu ya kelele za mitandaoni?
Updates
Ameandika Askofu mwamakula
JE, NANI ANAMSHIKILIA MHE. MWAMBE?
Taarifa zinaenea mitandaoni kuwa aliyekuwa...
Ni kama ambavyo yule alietaka kumtanguliza Lissu ahera, badala yake katangulia yeye huku Lissu akiwa bado yuko katika uso wa hii dunia.
Tena si ajabu Lissu akaja kuwa Raisi wakati huo mtesi...
Dah! Watanganyika kazi tunayo. Halafu mtu bado anasema mitano tena.
Nyie mnayemshabikia huyu mama hivi kweli mna akili? Yaani mtu anaifisadi nchi na mkisema anawapoteza. Juzi kaua watanzania...
Kwa mujibu wa wakili Hekima Mwasipu amesema mteja wake aliachiwa kwa dhamana mnamo Desemba 14, 2025
Mwambe ambaye aliwahi kuwa Waziri wa Viwanda na biashara, alikuwa anatuhumiwa kwa makosa mawili...
J.K. Rowling ni mwandishi, mtayarishaji wa filamu, na mwandishi wa skrini Mwingereza, anayejulikana zaidi kwa kuandika mfululizo wa vitabu maarufu sana vya Harry Potter ,akizungumzia dhana ya...
Ni ajabu kuwa HabariLeo wameiweka hii taarifa Instagram wakaifuta haraka baada ya kupata comments nyingi toka kwa wananchi.
Mbona sio kitu cha siri?
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia...
Mh Rais Samia Suluhu Hassan
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Awali ya yote nianze kwa kukutakia uzima na afya katika kutekeleza majukumu yako.
Baada ya salamu hizo nije...
Serikali ya Tanzania imetoa tamko la marufuku ya kuzuia matumizi ya google map yenye kuonyesha mpaka wa Tanzania na Malawi kwenye ziwa Nyasa ulipo kutumika kufundishia mashuleni. Kwenye ramani...
Hili ni wazo langu kama mto Rufiji ulivyojengewa bwawa,hawawezi kuujengea na Mto Wami bwawa ili uweze kuhifadhi maji kipindi chote cha masika kuliko kuacha maji ya mvua yakipotelea baharini...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati wa kutoa takwimu za hali ya Mto Ruvu, katika mtambo wa kuzalisha maji wa Ruvu Juu uliopo Bagamoyo mkoani Pwani aliwataka mameneja wote wa...
Huyu mwanadada ukubali ukatae anajua kujenga hoja, kushawishi na kuelimisha.
Mange Kwa kutumia Instagram ameweza kubadilisha kabisa political atmosphere ya Tanzania. Ameweza kumtia adabu Samia...
Hapa bado kwa walitajwa hapa! Binafsi namtazama zaidi Dotto Biteko na bila shaka kuteuliwa kuwa Naibu Waziri Mkuu ilikuwa ni kupata uzoefu zaidi!
Ila tusubiri tuone ila kwa Makonda kazi...
KUNA UKIMYA UNAITWA KUKUBALI KUTOKUKUBALIANA
Waswahili husema kubali yaishe, JAMBO hili linaweza likawa na AFYA kwa SIASA za Africa? SIJUI.
Ukimya uliolazimishwa ni kama hewa chafu β inaua...
Binadamu mwenye akili hulinda nafsi yake dhidi ya kifo, huepuka vitu hatarishi vinavyoweza kumsababishia kifo.
Acha kujihusisha na makundi hatarishi kama vile wapanga vurugu, wanaotaka kufanya...
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na...
My people,
Utangulizi
Maandamano ni mojawapo ya njia kuu ambazo wananchi hutumia kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Kihistoria, maandamano yamechangia mabadiliko...
Askofu wa Kanisa la Uamsho la Moravian Tanzania, Emmaus Mwamakula, amependekeza kuwa kila mkoa ambako mauaji yalifanyika, Oktoba 29, 30 na 31 mwaka hii, ipangwe siku ambayo watu watakusanyika...