Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Awali nimekuwa nikichunguza mgawanyo wa vyeo katika taasisi ya ulinzi na kugundua kuna mgawanyo mzuri wa vyeo baina ya pande mbili/ Kwa mfano, katika safu za juu za uongozi wa majehi ya Tanzania...
3 Reactions
42 Replies
2K Views
Tunduma, Songwe Tanzania MWIGULU NCHEMBA - NITALIPUKA, MNILINDE MWIGULU NCHEMBA AWASHAMBULIA VIKALI VIONGOZI WALIOKIMBILIA UHAMISHONI https://m.youtube.com/watch?v=MAXQmC_iabM Mwingulu Nchemba...
3 Reactions
27 Replies
739 Views
Akiwa Tunduma, mkoani Songwe kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maeneo yaliyoathirika kutokana na vurugu zilizotokea nchini Oktoba 29 mwaka huu na siku zilizofuata, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
21 Replies
549 Views
My people, Machafuko ya Maandamano na Athari Zake: Mifano ya Nchi Tofauti Duniani Maandamano ni njia mojawapo ya wananchi kueleza maoni yao, kudai haki, au kupinga maamuzi ya serikali. Hata...
6 Reactions
59 Replies
827 Views
Jana ulikuwa Tanga na wakuu wa vikosi vya JWTZ. Ni mkutano muhimu na mkubwa kwa taifa lefu. Japokuwa sio sana kwa maana mamlaka ya kutawala nchi hii yanatoka kwa wananchi na wala sio Jeshi wala...
17 Reactions
36 Replies
905 Views
Sioni haja ya Waziri Mkuu kuendelea na ziara zako ikiwa kila unapokwenda unarudia mambo yale yale uliyoyaongea sehemu nyingine, kana kwamba wananchi ni wajinga wasioyajua mambo; hali hii ni...
7 Reactions
24 Replies
603 Views
Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba Mr Clean au waweza kumwita Mzalendo wa kweli Ametua na kuingia Kikomandoo Mkoani...
1 Reactions
46 Replies
1K Views
TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI Na GULATONE MASIGA Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres...
0 Reactions
3 Replies
287 Views
Kuna kitu nimejiuliza huyu mtu yeye kwenye maandamano hakuwepo alikua nje eti anaibuka anasema wanaume wanaogopa kujipambania nchi hivi huyu bwege anajua kwenye maandamano ground asilimia g5%...
3 Reactions
6 Replies
399 Views
Wakati Air Tanzania ikifanya vibaya sana kutokana na ndege kununuliwa kwa bei mbaya huku zikifa kutokana na kutofanyiwa service za maana na kwa wakati tena kwa makusudi kuna taarifa kuwa...
52 Reactions
476 Replies
19K Views
Je CCM ni political party au ni organization nyingine tishio??? Hii ni case study!!!!!!
1 Reactions
34 Replies
635 Views
Binadamu wa kawaida tumeumbwa na haya, sasa unapokutana na binadamu ambae amekosa haya kabisa hata mbele ya umma na kwa ulimwengu huu wa technolojia, basi huyo ujui ni tatizo kubwa sana. Yaweza...
5 Reactions
14 Replies
321 Views
Naomba tujadili kwa mapana na marefu kauli hii ya Rais Samia inaashiria nini? Najua humu kuna wachambuzi na ma-time traveller wengi wanaweza kutuonesha muelekeo Akiwa Tanga alisema jeshi...
1 Reactions
4 Replies
266 Views
Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha? ============= Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano...
2 Reactions
49 Replies
1K Views
Mimi sifi Leo Sina kumbukizi umebakiza siku ngapi ufikishe 100 days at state house? JE, katiba mpya i-wapi mama? Je umefanya nini ndani ya siku 100? Jitokeze ubonge nasi wajuba
4 Reactions
8 Replies
380 Views
Mmeteka watu Mnatesa na kulawiti Watanzania wenzenu Mnaua Watanzania kupitia Wambura na magaidi wenzake Mmechezea sheria inayounda Usalama wa Taifa na kuifanya taasisi inayodhibiti wananchi badala...
1 Reactions
10 Replies
273 Views
Rais Samia amesema kuwa amesikia kuna tukio jingine la maandamano linapangwa Desemba 9, lakini amemsikia mmoja wa waandaaji wa nje kuwa hilo la Desemba 9 liahirishwe mpaka wakati wa Xmas kwa...
6 Reactions
156 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa takwimu kutoka Benki ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Kilimo, Tanzania imeongeza mauzo ya nje ya chakula mwaka hadi mwaka, huku chakula hicho kikiuzwa nchi za Afrika Mashariki, Kusini...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Maana na nyinyi ni kama wendawazimu! Hamjui mnalenga nini, matumbo yenu au usitawi wa taifa! Zito nenda kajaribu maana na wewe akili zako unaziweza mwenyewe na masheikh wenzako. Amen.
2 Reactions
1 Replies
209 Views
Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom