Hamna amani kwenye kumtoa mtu madarakani, mtakuwa mnatembea barabarani kama machizi tu na lazima mfeli yaani mtu atoke nyumbani akakae barabarani maandamano yasio na kikomo bila kula eti...
Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume...
Tanzania ipo katika hatari kubwa kuna dalili ya biashara za binadamu nina hoji kulikuwa na utekaji wa watoto je ulikomeshwa lini na watoto wapo wapi.
Juzi juzi tu hapa kulikuwa na utekaji wa...
Hakuna mbunge au rais au nani aliyechaguliwa na Tanzania uzuri ni kwamba kila mmoja anajua hilo nasema kwasababu mimi sio mpumbavu na wala sioni haya wala sio bubu.
Sasa wewe unajijua huna...
Kwa sisi watafiti, nguzo yetu kubwa ni kugundua chanzo cha tatizo na kulichambua vema, ili kuja na suluhisho.
Kwa kilichotokea Octoba 29, japo chanzo chake, kwa nje, inaonekana ni "ujeuri na...
Karibu tujadili Kuna tofauti yeyote kati ya Tanzania ya kabla ya MO29 na Tanzania ya baada ya MO29?
Kama tofauti zipo ni zipi?
Na je Tanzania ile ya kabla ya MO29 itarudi Tena?
Mto wa mbu...
Kanisa katoliki kupitia TEC, maaskofu na mapadri wake wamekuwa wakionekana katika mstari wa mbele kupambania haki na ustawi wa raia Katika mambo yanayonishangaza ni katika msiba ya waumini ambao...
Akizungumza wakati wa Misa Takatifu ya kuuaga mwili wa marehemu Jenista Mhagama, Padre Emmanuel Mtambo, Baba Paroko wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledóchowska, Kiwanja cha...
Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka...
Wanaukumbi.
Nadhani sasa wanaharakati wameelewa nini maana ya kiapo cha utii kwa AMIRI JESHI mkuu kinachofanywa na JWTZ..
Hawa ndiyo wanajeshi mlikuwa mnajazwa ujinga eti wanawatumia...
Ndugu wadau wa heshima na wa maana sana JF,
Ni vizuri kama waTanzania kuelimishana na kufahamishana kinagaubaga kwamba maandamano ya aina yoyote nchini kwetu ni haki ya kila kundi, na ni...
Hebu tazama Tanzania inavyopendeza kwa ulinzi na usalama wa kutosha kila kona ya nchi. Usalama ni wa uhakika na hakikisho la amani kwa waTanzania wote dhidi ya vitisho vya kigaidi kutoka kwa...
Jenista mhagama amezikwa leo Disemba 16,2025 katika makaburi ya Parokia ya Ruanda ambapo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Emmanuel Nchimbi ameongoza mazishi hayo.
Pia Soma...
1. Serikali ya mpito ambayo haina chama na lengo ni kusimamia katiba
2. Serikali ya mseto lakini hii ni ngumu maana kuna machama ya kichawa mengi
3. Rostam na marafiki zake kumuondoa Samia kwa...
MAANDAMANO MADAI YETU NI
1. Uchaguzi ufutwe
2. Miili ya ndugu zetu irudishwe.
3. Ndugu zetu waliotekwa warudishwe.
4. Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi.
5. Mauaji na Utekaji vikomeshwe...
Ukiangalia mikoa iliyoendelea utaona haina rasilimali nyingi sana ila kuna akili ya maendeleo
Mifano ya mikoa ni kama Kilimanjaro, ni mkoa wenye rasilimali chache ila wamepata maendeleo kwa...
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka...
Mchungaji wa kanisa la Redeemed Assemblies of God Tanzania RAGT Patrick Seif Kigava, amekosoa hatua za kufungwa hadi kufunguliwa kwa kanisa la Ufufuo na Uzima chini ya Askofu wake mkuu Mchungaji...
Ninatambua elimu UNGA UNGA mlizo nazo wanahabari mliopo IKULU,
Natambua wanahabari na elimu zenu UNGA ungamliopo kwenye mawizara mbalimbali ndio Maana Gereshoni aliisha wataka mseme yanayofanywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.