Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunatarajia kushuhudia mwanasiasa hasa yule mashuhuri(public figure), kuzungumza hoja zilizofanyiwa utafiti na zikathibitishwa kwa uchambuzi wa kina na scope pana. Weledi katika hutuba...
2 Reactions
2 Replies
196 Views
MBUNGE SARA MSAFIRI AKABIDHI AMBULANCE KITUO CHA AFYA MZIHA Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mheshimiwa Sara Msafiri, amekabidhi rasmi gari la wagonjwa (ambulance) kwa Kituo cha Afya Mziha, huku...
0 Reactions
4 Replies
410 Views
MHE. SARA MSAFIRI APOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO MVOMERO Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Mkoani Morogoro, Mhe. Sara Msafiri amefanya kikao kazi na Wakuu wa idara mbalimbli...
0 Reactions
19 Replies
477 Views
Unakaa na Lissu gerezani wa nini? Mahakama imeshatoa maaamuzi kuwa ushahidi haufai. Ushahidi ambao Dpp na Wasomi wenzake waliaamini ni ushahidi credible. Sasa wanataka ushahidi gani tena? Basi...
2 Reactions
1 Replies
219 Views
Tanzania kuzuiwa kuingia marekani ni kutokana na mauwaji, rushwa, udhaifu wa mifumo ya utambuzi, utekaji hii inahatirisha usalama wa marekani. Tanzania sio nchi salama kwa sasa inawapumbavu wengi...
6 Reactions
9 Replies
331 Views
Sasa viongozi wanahubiri utu na kazi. (nyuma watu wanatekwa na kuuawa kila uchwao). Ndani ya vipigo na uonevu usiokoma viongozi wa dini wanalipwa kuombea amani na kutaka maridhiano...
1 Reactions
2 Replies
176 Views
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Kigoma, imetupilia mbali pingamizi la awali lililowasilishwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo...
5 Reactions
19 Replies
771 Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya...
1 Reactions
17 Replies
374 Views
Mtu makini na mwenye maono asingeweza kuiua Tanganyika kwa kufukia fukia mambo kwa koti la muungano. Kwenye muungano Nyerere alichemka big time, matokeo yake anatupa taabu vijana kuurudisha...
9 Reactions
14 Replies
296 Views
Waokote takataka zote na kupeleka dampo, wasafishe mitaro yote kando ya barabara, wasafishe vyoo vya stendi, sokoni na kwenye maeneo yote ya umma. Mshahara ni huo huo wanaolipwa unatosha...
23 Reactions
40 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa sheria na haki za binaadam wa CHADEMA, Gaston Garubindi kupitia ukurasa wake wa X, December 15 ameandika "Hizi ni simu za viongozi wetu wa Chama , zilikamatwa kwenye kikao cha ndani...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Mfumo huu umejengwa kwa makusudi ili kuondoa mianya ya uasi na mapinduzi. Bila udhibiti huu wa hali ya juu, nchi ingeweza kupinduliwa kwa urahisi mara kwa mara. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi...
3 Reactions
23 Replies
471 Views
Tumeambiwa humu mara kadhaa kwamba ccm ina wanachama lukuki Nchi nzima, N.a. ushahidi mwingine ni Kura alizopata Hangaya mil 32 (Yaani zaidi ya nusu ya Watanzania wamemchagua) Sasa mamilioni haya...
12 Reactions
32 Replies
589 Views
Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema...
3 Reactions
7 Replies
220 Views
“na wale wanaotukana tukana wa yale mataifa wanaotukana mimi niwaambie tunasoma wanachokiandika, tunasoma wanachotukana na yule aliyehamasisha maandamano amekiri kwa mdomo wake kwamba kuna taifa...
1 Reactions
66 Replies
1K Views
Wameua maelfu, wameseka ndani na kuteka watanzania wazuri halafu unawasikia wanasema eti siasa zetu changa kujifanya hawajui wanafikiri sisi wapumbavu Mauaji utekaji sio siasa, wewe unapaswa...
1 Reactions
6 Replies
194 Views
CHADEMA ilishajifia muda, kwa sasa inaendeshwa na mashirika ya wanaharakati. Siyo chama cha siasa tena. Check hapa: Wameshindwa hata ku verify account yao
2 Reactions
8 Replies
234 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila amewataka wananchi waendelee kuliamini na kuliacha Jeshi la Polisi liendelee na uchunguzi wa kutokewa kwa aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
0 Reactions
9 Replies
619 Views
Fikiria Sheria za uchaguzi ziwe Bora kuliko za sasa, wasimamizi wa uchaguzi wawe huru na wawajibike Kwa makosa ya kiuchaguzi watakayoyafanya. Wazia jeshi la polisi lisizuie au kuingilia shughuli...
5 Reactions
26 Replies
464 Views
Baada ya Marekani kuiwekea Tanzania vikwazo, Partial Restrictions, wafuatao ndio watakaoathirika. Partial Restrictions ni marufuku ya viza au wakati mwingine (freeze of property) ambayo serikali...
11 Reactions
28 Replies
1K Views
Back
Top Bottom