Mwigulu: Fedha si za serikali ni za wananchi

ChekoFagia

Senior Member
Joined
Sep 20, 2025
Posts
115
Reaction score
339
"Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa Lindi
1766237456448.png
Chanzo: Swahili Times
 
Aiseeeeeee

Zile anazotapanya kwenye magoli je
Anasema zake sio za Wananchi... kuna rais huko kaachia mshahara wake wa Mwaka mzima uende ukatumike kwa Watoto yatima yeye hapokei hata 100 Mwaka mzima... huyu yeye anachota hela za Wananchi machawa wanakenua mipapa yao wanasema hela za Mama
 
"Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa Lindi
Chanzo: Swahili Times
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Goli la mama vp,nazo ni hela za serikali au za mama samuya
 
Toka lini kuwa hela imekuwa ya wananchi?Zile za samia zimeisha?
 
"Duniani kote hakuna fedha inayoitwa ya serikali; serikali ni mratibu tu. Miundombinu yote inayojengwa ni fedha yenu [wananchi], iwe imekusanywa siku hiyo hiyo au iwe ya mkopo." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Kampasi ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mkoa wa Lindi
Chanzo: Swahili Times
ndo wamejua leo? Mbona kipindi wanasema millions,billions za mama hawakukumbuka kusema ni za wananchi?
 
Back
Top Bottom