Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,331
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) kamanda John Heche amepokelewa kama mfalme na baadae kufanya mkutano mkubwa wa hadhara kata ya Sawida wilaya ya Itilima mkoani Simiyu.
Kundi la kina mama wa kata ya Sawida wilaya ya Itilima walimpokea kiongozi huyo na kumfunika kwa kanga kama ishara ya upendo na ukarimu na baadae kumsindikiza hadi kwenye uwanja wa mkutano ambapo alihutubia umati mkubwa wa wanachama, wapenzi na mashabiki wa CHADEMA.
Kwenye mkutano huo kamanda John Heche alimpokea aliyekuwa mgombea wa ubunge kupitia CCM 2010 Bwana Martin Makondo na kushika nafasi ya pili nyuma ya John Cheyo wa UDP na kumkabidhi kadi ya CHADEMA sambamba na kupokea wanachama zaidi 50 kutoka CCM.
PICHA ZA MATUKIO KUTOKA KATA YA SAWIDA WILAYA YA ITILIMA ZIKIMUONYESHA AKIWA KWENYE MATUKIO MBALIMBALI.

Attachments
-
1402981871832.jpg66.7 KB · Views: 4,457 -
1402981942714.jpg135.5 KB · Views: 4,689 -
1402982005261.jpg88.8 KB · Views: 4,427 -
1402982039917.jpg47 KB · Views: 4,342 -
1402982080978.jpg124.7 KB · Views: 4,305 -
1402982125897.jpg67.2 KB · Views: 4,274 -
1402982182605.jpg92.7 KB · Views: 4,262 -
1402982631310.jpg79.8 KB · Views: 637