FikraPevu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2010
- 304
- 236
WAHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wamegoma kusimamia mitihani ya mwisho wa muhula iliyokuwa ifanywe na wanafunzi wa chuo hicho kuanzia leo wakidai malipo yao ya muhula uliopita yaweze kukamilishwa mara moja ili kuendelea na kazi.
Aidha, baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu ambao walitegemewa kufanya mitihani ya kumaliza Elimu ya Juu chuoni hapo wamelalamikia mgomo huo kwani wameathirika kutokana na maandalizi waliyokuwa wamefanya kuvurugika na kushindwa kupata muafaka wa sakata hilo.
Mwandishi wa FikraPevu ameshuhudia wanafunzi wa chuo hicho leo Juni 16, 2014 wakirandaranda katika maeneo tofauti ya chuo hicho kufuatila kushindwa kupata muafaka wa kufanya mitihani yao ikiwemo wanafunzi wa Kitivo cha Sheria upande wa wanafunzi wa mwaka wa kwanza.
Endelea kusoma zaidi => Wahadhiri Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) wagoma kusimamia Mitihani ya mwisho wa muhula