Big Result Now kwenye elimu ni ukasuku

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
nikisikia brn, napata kichefuchefu kwani kinachosemwa na kinachotendwa ni tofauti, hv tanzania tuna viongozi wa aina gani. mfano walimu waliostahili kupanda madaraja hawajapanda kwa madai eti wanafanya data cleaning. hii ni mbinu ya uchelewashaji tu. najiuliza mwalimu atafanyaje kazi kwa moyo, mpaka sasa pesa za likizo walimu hawajapata. wabunge mbona posho wanapata kila siku?viongozi waache uongo na unafiki wawe wakweli.kuna mtihani umeletwa eti wa brn, kila shule imepewa nakala mojamoja ili ipigwe photokopi, wasimamie walimu wenyewe, wasahihishe wenyewe, hapa anayepima matokeo makubwa ni yuleyule mwalimu anayedharauliwa. tanzania tunakoenda siko tuache unafiki!
 
Back
Top Bottom