Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na...
Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani...
My Take
Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao.
Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇
====
Tanzania imeandika historia mpya...
Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na...
matumizi mabaya ya mamlaka hasa zinapohusishwa tuhuma za kijinai na kinyume chake Jeshi la Polisi litekeleze wajibu wake wa kikatiba. Pia katika mchakato wa uuzaji au ununuzi wa ardhi vyombo...
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine
anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Bibi...
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79.
Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya...
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa.
Akizungumza...
Wakuu,
Nasikitishwa sana na hiki nilichokiona hapa kwenye hii barabara ndogo ya Segesela Street hapa Sinza, ni kamtaa fulani kanaanzia hapa Mlimani City kuelekea Kitambaa Cheupe.
Hii barabara ni...
Professor Costa Ricky Mahalu is a Vice-Chancellor and Professor of Law at Tanzania's St. Augustine University. He is also an advocate at the High Court of Tanzania, Chairman of the Ardhi...
Wakuu,
Juzi bwana Zungu alitoka povu baada ya ATCL kuchelewesha safari ya Mwanza - Dar bila ya kutoa taarifa, povu lote akalitolea kwenye mitandao ya kijamii. Kumbuka Zungu hakuwa peke yake...
Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula.
Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha.
Askofu Gwajima...
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi ,(DCP) David Misime ameeleza kuwa jukumu la kulinda amani ni la kila Mtanzania, kwani vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani...
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili...
Msemaji wa jeshi la polisi nchini Tanzania David Misime amekanusha kuwepo kwa kontena la silaha na kusema kuwa ni taarifa za uongo. ameyasema hayo wakati wa Mkutano na waandishi wa habari...
Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa...
Wanabodi
Hii ni Makala yangu ya leo, kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo
Declaration of Interest
Naomba kuanza kwa kudeclea interest kuwa mimi ni muumini wa ile rai ya Makomu wa Rais...