Professor Anna Tibaijuka hana Moral Authority kuisema Serikali

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,591
Reaction score
15,404
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine

anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account

Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.

Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
 
View attachment 3538550
Sasa mbona na wewe unabweka humu, si uende kwake ukamshauri

Kama hupajui kwake, wadau humu watakuelekeza uende,
 
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine

anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account

Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.

Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Ad hominem!
 
Ulisikia maelezo yake kuhusu ile pesa ya Mboga? Si alipewa na "Bloo" wake kwa ajili ya shule ufadhili?
 
Mwenye moral authority ni muuaji Samia aliyewaambia watu wale kwa urefu wa kamba zao.??

Mwizi wa pesa anaweza kujisafisha kwa kurejesha alichoiba je muuaji atajisafisha kwa kurudisha watu aliowaua??

Tibaijuka ni mchafu ila Samia ni mchafu zaidi maana ni muuaji, takataka na nyang'au.
images (30).jpeg
 
Hivi nyie machawa mnaona shida gani mtu kuikosoa serikali ambayo haina ridhaa ya wananchi kutawala.

Huyo mama kama alihusika na kashfa kipindi hicho serikali ya ccm ilimchukulia hatua gani?? Bure kabisa.
 
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine

anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account

Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.

Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Kuisema serikali ni haki ya kikatiba na kibinadamu, haki hii haihitaji moral authority.

Yani ni hivi, kama ulevi ni kitu kibaya, raia mlevi anaweza kumsema kiongozi mlevi.

Akisema kuwa mtu hatakiwi kuwa kiongozi mlevi, kama anajiona yeye mlevi, ajiuzulu uongozi awe mlevi kama raia tu.

Yule raia mlevi akawa sawa.

Kwa sababu kiwango cha kukosolewa kiongozi na kiwango cha kukosolewa raia asiye kiongozi ni tofauti.

Jadili hoja anayoitoa mtu ni kweli au si kweli, ina mantiki au haina mantiki?

Ukianza kumjadioi mtu aliyetoa hoja bila kujadili hoja hilo ni kosa la kimantiki, ni logical fallacy.

Inaitwa ad hominem logical fallacy.

Ni tabia ya watu walioshindwa hoja.
 
M

Mjadala umeishia hapa.
 
The truth is independent of the person who says it! Attack the argument, not the person who makes it.
 
Ungejikita kwenye hoja zake kama yanaukweli au hayana.
 
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine

anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account

Bibi huyu kwa sasa mfumo umemkataa ndiyo maana anabwabwaja kila siku kuinanga Serikali ya awamu ya 6 lakin hana maadili hayo ya kuanza kuwasema wengine yaani kazi kubwa ya kufanya kwa umri wake angelea wajukuu.

Ni kweli kalitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali kunyamaza ingekua ni vyema kwake na kwa nafasi alizoshika Ikulu anaingia na kushauri chocho na siyo kubweka mitandaoni.
View attachment 3538550
Nani mwenye hiyo authority?Mwamposa anayo authority ya kuisifia serikali na Samia?
 
Kuisema serikali ni haki ya kikatiba na kibinadamu, haki hii haihitaji moral authority.

Yani ni hivi, kama ulevi ni kitu kibaya, raia mlevi anaweza kumsema kiongozi mlevi.

Akisema kuwa mtu hatakiwi kuwa kiongozi mlevi, kama anajiona yeye mlevi, ajiuzulu uongozi awe mlevi kama raia tu.

Yule raia mlevi akawa sawa.

Kwa sababu kiwango cha kukosolewa kiongozi na kiwango cha kukosolewa raia asiye kiongozi ni tofauti.

Jadili hoja anayoitoa mtu ni kweli au si kweli, ina mantiki au haina mantiki?

Ukianza kumjadioi mtu aliyetoa hoja bila kujadili hoja hilo ni kosa la kimantiki, ni logical fallacy.

Inaitwa ad hominem logical fallacy.

Ni tabia ya watu walioshindwa hoja.

Imagine mtu aliyechaguliwa kwa 98 % analalamika na kutetewa kuliko wale waliochaguliwa kwa 54 %...!!
 
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM
Kuna baadhi ya wasomi akili kubwa, wanaongozwa na akili ndogo, wanayaona madudu akili ndogo na wananyamaza kimya. Hawa sio Wazalendo na huu sio uzalendo.

Prof Anna Tibaijuka ni Mzalendo wa Kweli, huwezi kuona madudu, akayanyamazia, anakereka na anaongea sio ili kubwabwaja bali ili kushauri na kusaidia, tatizo la akili ndogo na ikiwa ni ndogo mno na kama anawategemea washauri machawa ambao nao ni akili ndogo, , hata mtu akishauri, machawa hao, badala ya kuuchukua ushauri na kumpelekea, wao wanachukulia ni kumnanga hivyo wanampelekea umbea!

Angalia ushauri kama huu Prof. Tibaijuka: Nilipendekeza iundwe Tume ya Kijaji, ingepunguza kelele za ICC kuliko tume ya Rais matukio ya Oktoba 29, 2025 mtu ambae sio akili kubwa, hawezi elewa.
upande wake mwingine anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account
Prof Anna Tibaijuka hajahusika kwa namna yoyote na kashfa ya escrow, kupewa pesa, kile kiasi cha mboga, kusaidia shule, sio kosa Kuwajibishwa kwa Prof. Tibaijuka ni Muendelezo wa Ignorance at The Highest Levels! Mnashangilia Uji

P
 
Back
Top Bottom