Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

Ertugrul Bey

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
14,354
Reaction score
29,310
file_0000000055ec71fd87ea5b2484893222.png

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
 
View attachment 3518584

Umeandika uharo mtupu.

UNAKERA!
 
Kwahiyo ishu sio amani, ishu ni watu wanapiga pesa kwa kidingizio Cha kutunza amani. Ndio mana hata huyo jamaa yako wa songea aliachiwa Ili akaendelee kuratibu vurugu kisa walitoa hela mingi mingi asee
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Hizo nguvu mngewashauri waelekeze kwenye kutatua changamoto zinazowakumba walipa kodi.
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Safi sana lazima wakamatwe.
 
Kwahio unatuambia HELA MINGI IMETUMIKA jamaa yako akaachiwa. Maana yake ni kuwa kwenye NATIONAL SECURITY MATTERS mtu anaweza kuhonga na kuachiwa? Kweli kuna usalama na amani kwenye nchi kama hio?
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Wale waliokuwa wa wanajaza kura fake kwenye mabox ya kura nao wanakamatwa?
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Hapo mwishoni umeharibu comrade.
Mwambie huyo samuyai atende haki.
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Waamini sugu walipewa vijana kuwasimamia wahakikishe wanaandama,kila mmoja watatu watatu,waliwapa mlo,makazi na probably malipo,walipoenda front wakakuta jamaa hawatanii,wanafumua mafuvu tu
Waliokamatwa wanawataja masters wao, ndiyo wanadakwa
 
View attachment 3518584

My people,​

Mnajua kwanini kitaani operation kamata kamata imepamba moto,hayo ni matokeo ya kutajana,wale walio kamatwa usifikiri watakula machungu peke yao,lazima muende wote na maji

Kuna mwanangu mmoja yupo Songea,wadau walimpoint na mara paap wajeda hawa hapa wakamnyakua,ingawa ametoka baada ya kupambaniwa sana lkn hela mingi ilitoka

Kwahiyo kama nawe ulikuwa mtu wa kipiga piga domo kitaani kuhusu kuandamana na mambo kama hayo,jua you are next

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana

epuka mazingira yote ambayo yatakuletea matatizo

Ni hayo tu!
Siyo hayo tu. Bali hao waliokamatwa na kuwekwa ndani wameuza ramani yote ya maandamano ya 29/10. Na ndiyo maana ile D9 haikufanikiwa maana Polisi/TISS wana ramani yote.

Na kwa kuwakamata wale, tusitarajie fyokofyoko nyingine yeyote including hiyo ya Xmas waliyokuwa wnaisema wala ya Januari 12.

Serikali ina MAGUVU, kamwe usidhindane nayo
 
Back
Top Bottom