Nauliza swali jamani, Hivi ilishawahi tokea wazee wa Daresalamu au wa popote pale wakaongea na Rais? Mimi uwa nasikia Mh Rais kuongea na wazee wa DAR. Je ilishawahi tokea wazee wenyewe wakaona kuna haja kumuita Rais na kuongea naye?:
Juzi kuna mzee alikuwa na mwanae, huyo mwanae akaniomba nmpishe siti akitanguliza samahani kuwa anajua hali haipo kama awali kutokana na kile kikao, nilimpisha tu ili huyo mzee Grahams akae.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.