Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

  • Redirect
UKITAKA KUJUA NCHI INAZUNGUKAJE NA JUA LINAZAMA UPANDE GANI UPEWE TISHETI YA CDM UIVAE DODOMA SASA HIVI UPITE BARABARANI.
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Dar ni moja kati ya miji michafu duniani! Tiba ya usafi wa miji sio kufagia kila ya mwisho wa mwezi! Tiba yake ni kuwa na predictable and controlled sources za uchafu! Lkn pia kuwa na mifumo...
2 Reactions
Replies
Views
KATIKA moja ya hotuba alizowahi kuzitoa Baba wa taifa Mwalimu Julius Nyerere, kuna ile ilizungumzia mtu aliyegeuka jiwe baada ya kuangalia nyuma kutokana na kelele nyingi za kumzomea. Mwalimu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana bodi kuna kesi imetokea ya mauaji sasa kuna mama ambaye mwanawe amepewa kesi(amebambikiwa) ila polisi wapelelezi wanatudai rushwa ili tumtoe kaka naomba mamlaka husika iingilie kati kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wanahabari na habari zisizo wahusu na hawana habari na habari zinazowahusu. Presha imekuwa kubwa kwa RC wetu wa Dar mpaka kufikia kuandika ujumbe huu ambao naona ni dongo kwa watu flani...
25 Reactions
235 Replies
30K Views
  • Redirect
Edward Lowassa aliyekuwa kiongozi wa mtandao uliomuweka Kikwete madarakani na kuunda serikali iliyojulikana kama ya "wanamtandao" ameirushia tuhuma serikali ya Magufuli kuwa inawatosa wapinzani...
0 Reactions
Replies
Views
Habari wanaJF, Muandishi wa habari za michezo na mchambuzi wa masuala mbalimbali ndugu Eddo Kumwembe ameibuka na makala ya kuelezea juhudi za Paul Makonda kuwa ni sawa na Usain Bolt asiyemaliza...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Kama kweli unajiamini na cheo chako basi WaZanzibari wanataka ukawatembelee wahanga wa mazombi ,wapo waliopigwa risasi,minyororo ,kupofuliwa,kuvunjwa viungo na mengine mengi. umezuka na kauli za...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
  • Redirect
Tanzania tourist board yanena kuhusu dereva wa southafrica aliyefariki mlima kilimanjaro ambao ulidhaniwa upo Kenya.
0 Reactions
Replies
Views
KATIKA kutekeleza tamko la Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) la kufika Dodoma kusaidiana na Jeshi la Polisi kuzuia Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bavicha Dodoma wameanza maandalizi...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama kuna mambo yanayotia hasara ni pamoja na hili la NSSF la ubadhirifu wa mamilioni ya pesa. Kumbe wao na mifuko mingine wanakopeshana mahela mengi na makubwa halafu sisi wenye pesa tunaambiwa...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
  • Redirect
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh Makonda
0 Reactions
Replies
Views
Mbunge wa jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Mbowe jana Jumanne 19/07/2016 amemkaribisha rasmi Wilaya ya Hai, Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo...
6 Reactions
77 Replies
10K Views
Walter Mguluchuma Sumbawanga .- Rukwa yetu HATIMAYE wizara ya Ujenzi imeinyang'anya Kampuni ya Agriculture and Animal Food Industries Ltd (SAAFI) iliyomilikiwa na mwekezaji mzalendo,na...
6 Reactions
69 Replies
12K Views
Hebu naomba tutoe maoni juu ya fikra hizi 2 za ukuaji wa Uchumi nchini! Hapa kuna waasisi wawili wa falsafa 2 mbili za uti wa mgongo wa uchumi wa taifa hili! Nyerere aliasisi kilimo na sasa...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
CCM mpya Tanzania mpya Hayawi hayawi sasa yanaenda kutimia...Tunahesabu masaa kuanzia leo kabla ya tarehe 23.7.2016 ambapo nchi mpya inaenda kuzaliwa. Ni nchi yenye jina lilelile Tanzania ila...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
*MH. EDWARD LOWASSA ANGURUMA KATIKA UFUNGUZI WA KIKAO CHA BAVICHA LEO* Awali ya yote aliwashukuru wajumbe Wa Baraza la vijana CHADEMA kwa kufika, akiwapongeza kwa kufanya kazi kubwa ya kusimamia...
3 Reactions
Replies
Views
Kararatasi za kura (kura ) zilizopigwa uchaguzi mkuu wa Marudio zanzibar kuchomwa baada ya miezi 6. Baada ya kukidhi vigezo vya Tume ya uchaguzi; Serikali ya Zanzibar hipo njiani kuchoma...
0 Reactions
2 Replies
822 Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema nafasi hiyo hakuipenda sana lakini kwa kuwa aliombwa na wazee kuchukua nafasi hiyo ya utendaji mkuu wa chama alikuwa hana jinsi. Kinana amesema kuwa...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom