Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Serikali itatoa hela za kujikimu kwa wanafunzi wa vyuo vikuu wanaosubiria kidogo kidogo kwa awamu na sababu kuu ni kuwa hawana hela, taarifa hizo nimezipata kutoka kwa uongozi wa chuo kikuu cha...
16 Reactions
92 Replies
17K Views
Kauli za kupishana kwa jambo moja lililopo eneo moja la kazi ni mzigo kwa taifa. Hili limewezekana hapa Dar juzi. Mkuu wa wilaya ya Kinondoni aliwaambia walimu wasiotosheka na mshahara waondoke...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiitazama video hii na kukumbuka namna kampeni zilivyokuwa zikiendeshwa utapata jibu moja muhimu kwamba kuna wapiga kura wengi waliaminishwa kwamba hakuna fisadi mkuu Tanzania zaidi ya Mhe...
2 Reactions
36 Replies
5K Views
Watanzania ni Nani kawaroga? Wakati JPM akijitahidi kuifanya Tanzania ifikie uchumi wa kati. Nadhani umasikini WA nchi hii unatokana na viongozi hasa wa hili lichama kukosa maono au mbinu mbadala...
1 Reactions
38 Replies
6K Views
habari wana jf...? kama tujuavyo rushwa imekuwa kero ktk bara letu la Afrika na kwengineko,sababu zake nazani ni tamaa na umaskini. kikubwa kilichonisukuma kuandika hii mada ni kukamatwa kwa wala...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Mbunge wa Vunjo James Mbatia amesema wao hawajasusia bunge ila wana hasira na mtu ambaye hata jina lake hawezi kulitaja, na huwa wanaingia akiwepo mwenyekiti mwingine wa bunge na wanashiriki...
4 Reactions
51 Replies
9K Views
  • Redirect
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk Joseph Pombe Magufuli amesema kuwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) watafungua ofisi nchini Rwanda ili kuraisisha uhakiki wa bidhaa kwa...
0 Reactions
Replies
Views
Ifike mahali wasomi na wanazuoni wakae chini nakutathimini utendaji wa huyu bwana mkubwa. Kipindi chake kumekuwa na mambo mengi ambayo Yana lets giza nene ktk uchumi wetu. Jambo la kwanza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kesi iliyokuwa inaunguruma kuanzia tarehe 29.02.2016 katika mahakam kuu jijini Arusha imetolewa hukumu leo hii Katika shauri hilo aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Longido Dr KIRUSWA...
6 Reactions
142 Replies
25K Views
  • Redirect
Magufuli alipewa akili namna ya kupata ndege na kagame! UJANJA ALIOFUNDISHWA NA RAFIKI YAKE, KAKA YAKE RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME.
0 Reactions
Replies
Views
Wewe ndo PCCB, wewe huyo huyo ni Mahakama, pia ni Mahakama kuu na rufaa. Heeeh kumbe wewe ni TRA pia na CAG wewe pia. Ukiangalia kwa engo nyingine wewe ni Daktari pia Mkurugenzi. Wewe ndo waziri...
3 Reactions
41 Replies
6K Views
Jana nilipigwa na butwaa wakati mbunge mmoja wa CCM alipouliza juu ya ubora wa khanga na madera. Hoja hii iliwachwa muda mrefu huku muongeaji akiisemea kishujaa kabisa utadhani ni hoja ya...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Tangu raisi magufuli aingie madarakani amefanya mengi mazuri na mengine hayakufurahisha watu labda tuseme wewe lipi limekufurahisha na lipi halikukufuraisha tupate kujua ndani ya miezi 9 tisa hii...
0 Reactions
1 Replies
684 Views
wapendwa viongozi wangu kuna hii habari imekua ikitembea sana ikiongelewa na marekan na uingereza concerning abuse na kupata tenda ya uwindaji kimagumashi au rushwa hizi company mbili moja ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
>Mtumishi atakayekwenda kusomea FIRST DEGREE anatakiwa achukue LIKIZO ISIYO NA MALIPO na hastahili kulipwa chochote na Mwajiri wake ikiwa ni pamoja na kutolipwa Mshahara kwakuwa HAYUPO KAZINI...
0 Reactions
102 Replies
29K Views
Philippines President Rodrigo Duterte tells people to 'go ahead and kill' drug addicts. Na haya ni maagizo ya Rais Durtete kwa wananchi ""If you know of any addicts, go ahead and kill them...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Mh mtukufu rais magufuli angeendelea kupambapana na majipu,na akaachana na upinzani angefika mbali sana,lkn akiendelea kupambana na upinzani hatafika mbali sana kwenye malengo yake ya...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakati sakata la kampuni ya LUGUMI Enterprises likiendelea kutikisa nchi, mashine za utambuzi wa alama za vidole, zimeanza kufungwa katika mikoa kadhaa ikiwamo ya Dodoma na Geita. Uchunguzi wa...
6 Reactions
105 Replies
12K Views
• Kilango sasa awageukia akina Slaa *Awataka wasiparamie hoja yake, wasubiri majibu *Asema hoja ya Commodity Import Support si mpya Na John Daniel, Dodoma MBUNGE wa Same Mashariki...
0 Reactions
131 Replies
14K Views
1: J. Kikwete ni dhaifu.....Nimemmis J.kikwete 2: Mkipiga kura kalaleni nyumbani(msilinde) hawawezi kuiba kura.......Nimeibiwa kura zangu 3: Hatumtambui raisi John Magufuli.......Magufuli ni...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom