Je,
hiyo inaashiria kwamba mwanasheria huyo mwenye maneno mengi matupu amefikia ukomo wa kufikiri kisheria na amegundua kwamba hakuna uwezekano tena na wala namna yoyote ile ya kujibandua wala...
Akizungumza katika mkutano wa kufunga makambi ya ulezi ya kanisa la Adventista-Kinyerezi leo Septemba 19, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesisitiza ili Watanzania watabasamu, haki na...
Natamani Waziri Dorothy Gwajima aje kuwa Rais baadae.
Dudubaya amesema hayo wakati wa mahojiano na ST Bongo, ambapo amemsifia Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
DCO wa katavi yule muhaya kanyooka sana.
Watu kama hawa ni hazina kwa Taifa. Ni vile mfumo mbovu unawameza hata watu wazuri.
Leo bwana DCO umenikosha sana
Wana-JamiiForums,
Kama wewe ni mfuatiliaji wa vyombo vya habari nchini Tanzania, hususan vipindi vya asubuhi, bila shaka utakuwa umekutana na kipindi cha 'Jana na Leo' kinachorushwa na Wasafi...
Askari wanapopewa ripoti ya uhakika kuwa wafanyavurugu wamevamia vituo vya polisi kuua polisi na kupora silaha na sare za jeshi la polisi unadhani anaepewa ripoti hiyo atatuma askari kwenye tukio...
1. Mods, wengine mlifika Hadi inbox kunionya. Mbarikiwe sana.🙏🙏
2. Members wote niliotukana nao, ikiwemo Leo. Mnisamehe 7*70
3. Members walioyashuhudia matusi yangu na kuwakera.
Siijui kesho...
Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Mwekezaji na Mfanyabiashara wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ametikisa Kwa Mkutano kabambe wa hadhara kwenye eneo la Kirando wilayani Nkasi
Zaidi pata...
Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri
Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea...
Watu wengi wanaongea kwa mihemuko, eti Lissu atafungwa ata miaka miwili then ataachiwa, sijui sheria wameisoma wapi.
Hapa Kuna mawili akutwe na hatia , ahukumiwe kunyongwa hadi kufa au hasikutwe...
Ili kuimarisha usafi wa mazingira yetu napendekeza tuanze kukusanya ushuru wa taka kupitia mita za luku.
Tsh 6,000 kwa mwezi kwa kila mita, sawa na wastani wa Tsh 200 kwa siku.
Tanesco...
Naona majengo makubwa na marefu ya makazi ya watu, kumbi za mikutano ya kitaifa na kimataifa, mahotel makubwa ya kimataifa na maofisi ni mengi sana ukilinganisha na wakati uliopita, hali...
Kichwa cha habari chahusika.
Rais Samia amemteua Paul Kadushi kuwa Katibu wa Tume ya Jaji Lila.
Paul Kadushi ndiye muasisi wa muenendo mbaya wa mawakili wa serikali dhidi ya wapinzani kipindi...
MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu.
2. Saa moja...
Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo...
Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu.
Vilevile...
Tatizo sio Lissu wala Nchimbi tatizo ni nyie msiotaka kubadilika kwenda na wakati hata mkifunga Lissu wala tatizo sio Lissu tatizo ni nyinyi sasa mtaenda kukutana upinzani wa wananchi wenyewe...
AMANI HAIPO SAWA.
Kwa mjibu wa Civilian-Coin:
"Nchi ni yetu lakini Sheria inatuzuia kuishi Kama Wananchi eti Viongozi ndio wanaishi Kama raia halali. Ndio maana watu huandamana au kufanya vurugu"...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi ametoa ufafafnuzi kuhusu kanuni za Usalama Barabarani za mwaka 2014 zilizorekebishwa mwaka 2025 ambapo amesema kinachofanyika ni majaribio ya...
Jenerali Jacob John Mkunda alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 1968 katika Kijiji cha Chakwale, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Alipata elimu ya msingi katika Shule ya Msingi Kwaru iliyopo Wilaya...