Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Naona sasa viongozi wa chama dume CCM mmesahau kilichotokea mwaka 2011 ambapo CCM ilijinasibu kujivua gamba. Ccm ilijinasibu kujivua gamba kwa kuwa ilikuwa imechafuka kwa ufisadi na mafisadi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimeshangaa chama kikubwa kama Chadema kinashindwaje kulipa mishahara ya watumishi wake!! Yaani pamoja na miradi yote waliyonayo Chadema pamoja na Ada za wanachama bado hamuwezi kulipa mishahara...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Redirect
Ujumbe kutoka Rwanda leo umekutana na Rais Samia Ikulu Dodoma na kumpa salamu maalumu kutoka kwa Rais Paul Kagame. Katika salamu hizo Rais Kagame kwanza ametoa pole kwa Rais Samia kufuatia kifo...
2 Reactions
Replies
Views
Mh. Tundu Lissu, baada ya kupewa taarifa juu ya ukandamizwaji wa haki za wasikilizaji na wafuatiliaji wa case ameandika; "Nimetaarifiwa kwamba Polisi na/au Mahakama wanazuia watu kuingia na simu...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais samia jasiri muongoza njia,mama wa shoka,chuma cha Reli,Nuru ya wanyonge,Shujaa wa Afrika,Sauti ya wa Afrika,Mtetezi wa wanyonge anawasikiliza watanzania wote...
3 Reactions
75 Replies
2K Views
Naibu Waziri Mkuu, Dkt. Doto Biteko amewataka mawaziri, wakuu wa mikoa na viongozi wengine kuhakikisha wanatoa elimu ya namna ya kukabiliana na mvua za El-Nino zinazotarajiwa kuanza kunyesha...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Inashangaza sana kuona Chama Cha Mapinduzi kinachojiita watetezi wa Wanyonge kinawakumbatia Wanachama wao wenye Vyeo na pesa Kwa kuwashulumu Maskini wasio na pesa na Vyeo tena wanakumbatiwa. Ni...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi Asha Abdala, nawaomba watanzania wote wenye mapenzi mema muweze kuwachangia wabunge mahiri Dr Slaa na Zitto Kabwe ili waweze kuwa na vijana wa kutosha pale bungeni Dodoma wawasadia katika...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Maandamano yaliyofanyika nchini Ufaransa leo tena yakiongozwa na Mkenya ni kiashiria cha ujasusi wa kiuchumi kuhusu Tanzania&Uganda juu ya ujengaji wa bomba hilo. Kenya katika ukanda huu wa...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya Kikao cha Kamati Kuu kilichoketi jana katika Hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar, Timu ya ACT Wazalendo ipo tayari kuwasilisha Maoni ya Chama mbele ya Kikosi Kazi cha Mh. Rais Kuhusu...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Inadaiwa kuwa, kampuni ya Rostam Aziz, LPG/C Mirambo, ilinunua Gesi kutoka Iran na kuleta Tanzania wakati ambapo Marekani imeiwekea Vikwazo vya Gesi ya LPG Nchi ya Iran. Inadaiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
DC JOKATE AZURU AFRIKA YA KUSINI KUTANGAZA ZAO LA MKONGE NA BIDHAA ZAKE PAMOJA NA MASUALA YA UHIFADHI WA WANYAMAPORI NA MAZINGIRA - 28-03-2023 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe Jokate Mwegelo amezuru...
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Jibuni HOJA zao. Maandamano ya Amani yameruhusiwa kikatiba. Waachieni Manabii wetu tafadhali.
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri Ndumbaro ni msomi mkubwa wa Sheria, walau kwa kurejea historia ya elimu yake bila kujali uhalisia wa mambo anayofanya. Kwamba Waziri Ndumbaro hajui kuwa FIFA hairuhusu serikali kuingilia...
17 Reactions
34 Replies
2K Views
KUNA namna mbili kwa mtu kusafisha chumba chake; unaweza kufagia chumba, ukazoa takataka na kuzitupa. Lakini waweza pia kuzifagilia takataka chini ya jamvi. Ukifanya hilo la mwisho bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika chaguzi nyingi kuanzia za ujumbe wa nyumba kumi,serikali za mitaa ubunge na Uraisi wasomi waliobobea sana wamekuwa wakibwagwa na wasiosoma sana. Nakumbuka Raisi Nyerere aliwahi kuulizwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Na Waandishi Wetu, Mwanachi Gazeti MATOKEO ya awali ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi nchini kote, yanaonyesha kuwa vyama vya upinzani vimeanza kupata nguvu kubwa baada ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau;kama dakika ishirini zilizopita nilikuwa napita maeneo ya mabibo nikakuta mkutano wa cuf ambapo ndugu mtatiro anahutubia pale na kilichonifanya nimpe dakika chache kwenye ratiba yangu ni...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom