It all over in Zambia baada ya tume ya Taifa ya Uchaguzi ECZ kumtangaza Haikande Hichilema kama mshindi wa Uchaguzi wa Urais uliyofanyika August 13, Hichilema alipata 60% ya kura zote.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesisitiza kuwa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya nchini ni ajenda yake ya msingi na utatekelezwa kama ulivyohaidiwa katika Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2025–2030...
Tarehe 21 eitha mseme hana kesi mumuachie au mseme ana kesi aite mashahidi wake
1. Sijui nan
2. Filp Isdori
3 Shekh Kasim
4.
5
Wote hawa twawataka kwa mahakama
Naona kimya kimetawala kuhusu update ya michango ya baraza kuu la chadema. Je lengo limetimia au vipi?
Kama lengo limetimia mbona hamuwaambii watu waache kuchangia?
Kupitia Kitenge TV, Nnkya, mmoja wa wamiliki wa ofisi hizo, amesema Mkuu wa Mkoa anakurupuka kutoa matamko kuhusu ofisi hizo, wakati yeye mwenyewe alikuwa Mkuu wa Mkoa kipindi ambacho ofisi hizo...
Haiwezekani Dar yote kuwe na bus stand bubu kila kona, usafirishaji wa biashara haramu za Binadamu, Madawa ya kukevya , , foleni katikati ya mji, mapato ya Serikali , huku tukiacha Stendi ya...
Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu, amesema baadhi ya watu wamejimilikisha ajenda ya mabadiliko, akisisitiza kuwa Chama hicho hakiwezi kuwa mfuasi wa ajenda za kisiasa...
Wananchi na mawakala wa meli wamezungumzia fursa mbalimbali zinazotokana na uwekezaji mkubwa wa miundombinu uliofanywa na Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) katika...
Kenani Kihongosi, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, amesema hakuna taarifa rasmi kwamba Makamu wa Rais, Dk. Emmanuel Nchimbi, ameitwa mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM
Ndani ya chama cha...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Kenani Kihongosi, akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds FM leo, Agosti 19, 2026, amesema kuwa: “Misingi ya CCM inapigana na rushwa, ukijulikana...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, kupitia Jambo Tv Agosti 17, 2026, amesema Dola ilimuogoba aliyekuwa Mgombea Urais wa...
Huyu kijana anaitwa Joseph Katooki, mkazi wa Kyela Mbeya. Amekamatwa na kupewa kesi ya ugaidi. Amenyimwa dhamana na anashikiliwa katika gereza la Kyela. Nimesikiliza hii clip yake sijaona kosa...
Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi.
Kikawaida EL...
Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANAnaLEO Tupo Na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wazazi CCM Tanzania Bara Ally Salum Hapi ameetoa mtazamo wake kumuhusu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kwa kusema ni...
Jana Jumamosi tarehe 15, Agosti 2026, makala ya CNN kuhusu mauaji ya Watanzania wasio na silaha wala hatia yoyote ile, imeshinda tuzo ya Salute to Excellence, ya taasisi ya NABJ.
Uchunguzi huo...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza kwenye kipindi cha PB cha Clouds Fm amesema CCM ni chama cha Demokrasia na kinacholeta maendeleo kwa jamii
Nitaweka baadhi tuu ya miradi n programu kubwa na muhimu alizofanya na anazoendelea kufanya ambazo ni game changer ya maendeleo ya Nchi.
1. Amemaliza kupeleka umeme Kila Kijiji,Sasa anaendeleza...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi, amesema chama hicho hakitasita kuchukua hatua dhidi ya watumishi wazembe wanaosababisha migogoro kwa wananchi...