GT
Hakuna jambo linatia hasira kama Samia kukalia ikulu kwa sababu huo uwezo wa kuingoza nchi hana.
Just imagine for more than 120 days kajificha haijulikani.anafanya kazi gani, anakaa wapi...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 23, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Majisafi wa Sinya–Namanga unaotekelezwa eneo la Sinya, Longido mkoani Arusha.
Mradi huo unaotarajiwa kuongeza...
Baada ya sekeseke la Oct29 kuunda wizara ya vijana kulionekana kama sehemu ya majibu na tiba ya kilichotokea na kilichosababisha vijana wakubali kutumika.
Hata hivyo, vijana ni nani na wako...
Nimeona video kiongozi wa kikundi Cha uasi Cha kutetea raia akitoa tamko dhidi ya serikali haramu ya tanzania hususani kwawataja sana polisi aisee kumeanza kuchangamka ni moto hii ni screenshot...
https://www.youtube.com/live/OKUOZERlsJs?si=hSMyZIJG7kS6N1kT
------------
"Waziri wa Vijana anapewa fedha anakuja kutuambia sisi vijana kwamba fedha hizo zimepelekwa wizara za kisekta, sisi...
Waziri mkuu tengeneza mfumo unaofanyakazi wenyewe hukohuko makazini bila wewe kulazimika kuzunguuka n kutatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Watanzania wooote wanazo kero zao lakini ama hawana...
Kupitia video inayosambaa Mtandaoni inamuonyesha kijana akielezea kwa hasira tukio la kutekwa kwa Humphrey Polepole usiku wa kuamkia Oktoba 6, 2025, akidai kutaka kujua hali ya Polepole kama yupo...
Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), imewataka Watanzania kuendelea kushikamana na misingi ya Taifa, hususan katika kipindi hiki ambacho nchi inatafakari matukio ya vurugu za Oktoba 29, 2025 kupitia...
Kwa yanayoendelea nchini
Mnadhani akiondoka Samia Tanzania itakuja tena kupata Rais Mwanamke?
Je, wanaume watakubali kumpatia tena nafasi mwanamke aweze kuongeza nchi?
Na wanawake watakubali...
Umeandika kuwa utakuwa Musoma 8.3.2026 siku ya Wanawake Duniani. Usilogwe ukaja huku maana nyinyi hamsikii?
Bado tuna fresh memory of Polepole whereabouts!
USILOGWE, LABDA KAMA UKO HAPA BONGO...
Miaka kumi na Sasa tangu tuitimu chuo kimoja jijini Dsm SITAKI kukitaja hapa kwa sababu za kiusalama.
Tukiwa chuoni tulifanikiwa KUSOMA na mtoto wa Rais kwa kweli kusema la kweli yule Binti...
Nimesikia mgombea wa CCM anasema atanunua tractor million 10 kabla ya 2030. Huyu alisoma shule Gani na ana uelewa Gani?
Fanya tu simple kila tractor ni million 30, kwa tractor million 10...
Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI.
Hawa ******* wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho.
No way , potelea mbali !!!.
Mtasubiri...
Moja ya habari inayopata nafasi ni kumuhusu Augustino Polepole kaka wa Humphrey Polepole akieleza kinachoendelea sasa kuhusu mdogo wake.
Lakini mbali na hivyo ameeleza namna Mkuu wa Majeshi...
Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake.
Huyu mtu alienda...
Fikiria wewe ni bodaboda ambaye kazi yako ni kubeba abiria kila siku kwa nauli ya 'buku buku' na kama siku hiyo umeshindwa kufanya kazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo kuumwa, ajali au hata mvua...
Kwenye List ya Africa : Kenya sasa namba 6 kutoka 7 na tanzania imeshuka namba 11 kutoka 10. Kujilingalisha ni sawa na kusema muuza genge Tanzania hata tukukuwa kwa 6% kwa mwaka ni ndogo kuliko 4%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.