Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda Maalumu ya Dar es Salaam (ZCO), Faustine Mafwele na kile kinachozungumzwa kwenye mitandao ya kijamii...
Wakuu,
Nimesikia Bi Msumi katengwa na viongozi wenzake huko AU
Sasa mi naona hilo suala lingeendelezwa zaidi. Heads of state wote duniani ambao ni wanawake wanatakiwa kumtenga Samia
Wanawake ni...
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Februari 24, 2026 anaweka jiwe la msingi ujenzi wa mradi wa Soko la Kilombero ambapo ametoa maelekezo kuwa wale wote waliokuwa katika soko la zamani wapewe...
TAHARUKI YAZUKA BAADA YA MIILI MINGI ILIYOHARIBIKA KUFUKIWA MSAE, KIBAHA Baba Askofu Mwamakula!Jana, 22 Februari 2026, tukio la ajabu liltokea Kibaha Mkoani katika Mtaa wa Uhuru. Ilikuwa hivi...
▪️Mkutano huo unafanyika katika hoteli ya Ngurudoto-Arusha, Februari 24, 2026
📌 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekwamua miradi iliyoshindwa kutekeleza kwa muda mrefu na ameibua miradi mipya...
Wanabodi,
Niko hapa ukumbi wa Aga Khan University, kuwaripotia live, kinachoendelea kwenye huu mkutano ambapo Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, Deodatus Balile, atawasilisha mada ya...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri...
Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu...
1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi"
Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo.
Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili...
Wakuu
Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu.
Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa...
Wakuu,
Mko wapi? Naona shahidi amepata kigugumizi huku. Alichoandika kwenye maelezo ya polisi na kile ambacho amejibu hapo kwenye kizimba cha siri ni vitu viwili tofauti.
Soma Pia:
Shahidi wa...
TUNATAKA KAZI ZA SERIKALI ZIFANYIKE MAKAO MAKUU YA NCHI-DKT. MWIGULU.
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali inataka kazi zote zifanyike makao makuu ya nchi ili kusogeza huduma...
Kesi bandia ya uhaini dhidi ya Tundu Lisu imezidi kuweka wazi unafiki, ushetani na ujinga wa mawakili wa Serikali, jeshi la polisi na wale wendawazimu waandaaji wa kesi za mchongo.
Tumeshuhudia...
Hii ni Baada ya pingamizi lake kukubaliwa n.a. kusababisha Mawakili wa serikali kukimbia
Bila shaka Jaji hatakuwi n.a. la kufanya Bali kumuachia huru Tundu Lissu
Hatimaye Shetani ameshindwa
Ndugu zangu,
Kuna maelekezo hapa kutoka kwa Naibu Waziri. REA na TANESCO ujumbe uwafikie popote mlipo
======
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania...
Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika!
Tambiko hubadilika...
Baada ya mbinu zote kushindwa na miti yote kuteleza, na Mwisho ushuhuda wa "Paskali" kukataliwa ambao ungeisogeza sogeza kesi na kutumika kama mwamvuli wa kumkinga na Jua au mvua mshukiwa wa aicc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.