Kume kuwa na kauli mbali mbali zanazotolewa na wana siasa hususan wa chichiemu ambazo zina chochea uvunjifu wa Amani na ni kinyume cha sheria, lakini hakuna hatua zinazo chukuliwa dhidi. Yao...
Hamjambo!
Mara ya mwisho Agustino Polepole alituaga na Kauli tata, za kibabe, mikwala kama yote. Lakini pia mikwala yake ilijaa msisimko wa kihisia. Maumivu ya kisaikolojia ambapo ingekuwa ngumu...
Jana Lissu alimwambia Katanga asimfundishe sheria.
Jaji Ndunguru anasema,
Mahakama imeona hoja inayopaswa kuamuliwa ni je notice hiyo ipo kwa mujibu wa sheria?
Ili kurahisisha Mahakama imeona...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na...
Kizimkazi ametoa mamlaka yote kwa mtoto kuendesha Tanganyika, yeye akiwa zanzibar.
Ikitokea minong’ono, wanaandaa tukio, anakuja bara, alafu uyo anarudi zake.
Tanganyika ilimkosea nini Mkwere...
MWIGULU na HAKI ya PAPO kwa PAPO au HAKI FASTA
Katikati ya mkwamo wetu, Waziri Mkuu Mwigulu Mchemba ameibuka na njia mpya iliyokuwapo zamani. Ni Njia ya HAKI YA PAPO KWA PAPO au HAKI FASTA...
Hawa jamaa hawabadiliki kabisa, hawana maboresho ya vifurushi kabisa vya intanet kama wanavyofanya wenzao
Wanawauzia wateja GB 2 kwa Tsh 5000 halafu ni shirika la umma, halafu linaongozwa kwa...
Aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo, Said Miraji akitangaza matokeo leo Februari 22, 2026.
Wajumbe wa mkutano mkuu wa dharura wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemchagua Mirambo Camil Yusuf kuwa...
What entails to be a socila contract in Tanzania ni ibara ya 8 (1)(a) ya katiba ya JMT.
Hapa ndipo wanaanchi kwa kutumia kura zao huweka serikali madarakani kwa manufaa yao.
Mtawala.anayedhania...
Inawezekana wengi wanaona kiza kinene mbele ila wengine tunaona dalili za mwanga mbeleni.
Ningeshauri kwa sasa CHADEMA wafanye mambo makuu matatu.
1. Kutengeneza timu ndogo ya wanadiplomasia...
Kazi kubwa kama amiri Jeshi ni kulinda raia wa nchi yake
Kama ameshindwa Hilo jukumu Hana sababu ya kuendelea kubaki kwenye hiyo nafasi
Na wote watakaondelea kutii amri yake kinyume na katiba ya...
Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW
Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea...
Katika kipindi hiki tumeshuhudia mijadala ya kisiasa ikizidi kuwa mikali na yenye hisia kali. Hali hii inatukumbusha umuhimu wa kurejea kwenye misingi imara ya taifa letu: amani, umoja na...
Ukizungumza na Watanganyika wengi, sasa hivi hata kungepigwa kura, Watanganyika wengi hawautaki Muungano. Watanganyika walio wengi wanasema kuwa usingekuwa Muungano, ndugu zao wengi kwa maelfu...
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera, amewasili jijini Geneva, nchini Uswisi, kushiriki Mkutano wa Ngazi ya Juu katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa ulioanza...
Operesheni maalum inayoendeshwa na UVCCM mkoa wa Kagera, iliyopewa jina la Vijana Daka Fursa na Samia [VIDAFUSA] imeanza kwa kishindo katika wilaya ya Kyerwa jana tarehe 20 Februari 2026 kwa...
Idara ya Ujasusi ya Tanzania (TISS) iliyoko chini ya Samia imezidi kuaibika kimataifa na kujianika wazi kwa namna inavyoratibu na kuendesha matukio ya utekaji na mauaji ya Watanzania wanaoukosoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.